Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Shida ni Samia siyo said kujiweka karibu karibu na wahuni kama akina mwijaku na kitengeUrais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
That is her personality! What a surprise????Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Ewaa alifurahi kabisaLakini alifurahi ndio lengo la Said
Hakika MkuuKua uyaone wanasema Waswahili, Leo tunaona urais wa kuhushuria vitu vya kitoto sana.
Marehemu Mwinyi alijutia kuhudhuria onnyesho la Kanda Bongoman na hakurudia ujinga huo tena
Mhuni alitaka kuopoa mshangazi yani alikuwa anataka kabisa Rais awe mshangazi wake. Unaendaje kusikiliza machawa waliokosa akili ukiwa kama Rais mwenye mambo mengi?Shida ni Samia siyo said kujiweka karibu karibu na wahuni kama akina mwijaku na kitenge
"If she was serious".That is her personality! What a surprise????
That is only she can do, they know her well that’s why they acted the same. If she was serious the comedian would have been serious as well!
#samiamustgo
Rais anahudhuria event nyingi ambazo utaona si muhimu, lakini ni mkakati mzuri sana wa kisiasa. Hata yeye hapendi lakini hiyo ni kaziUrais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani
Samia alitoka kwao na nazi zake na ng'onda wa samaki. Huu uraisi alikutana nao tuShida ni Samia siyo said kujiweka karibu karibu na wahuni kama akina mwijaku na kitenge
CCM wanadharau sana kiti cha Urais.Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Mwenyewe alifurahi sana niliona anachekelea mpaka anakaribia kudondokaUrais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Huyu asingekuwa rais angekuwa anakesha kwenye harusi na kapu la mama.Kua uyaone wanasema Waswahili, Leo tunaona urais wa kuhushuria vitu vya kitoto sana.
Marehemu Mwinyi alijutia kuhudhuria onnyesho la Kanda Bongoman na hakurudia ujinga huo tena
Kuna wale walioenda kuomba amani kizi mkazi juzi! Huu si ni utani kweli! Yaani amani ya nchi ikaombewe kizimkqzi! SeriouslyMhuni alitaka kuopoa mshangazi yani alikuwa anataka kabisa Rais awe mshangazi wake. Unaendaje kusikiliza machawa waliokosa akili ukiwa kama Rais mwenye mambo mengi?