Dogo hajafanya kosa lolote kabjsa. Wana wivu tuUrais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Lini hii?😀😀Kuna wale walioenda kuomba amani kizi mkazi juzi! Huu si ni utani kweli! Yaani amani ya nchi ikaombewe kizimkqzi! Seriously
AiseeWao ripoti ya cag sio muhimu lkn commedy ndio muhimu
WATU NI ******* SANA ETI WANAMSIFIA LEONARDO WAKATI NAYE ALIKUWA ANACHEKESHA USENGE TU ,NAHISI PRESIDENT SAHIVI ATAVIKACHA IVYO VIEVENT VYENYE JINA LAKE MAANA VINAMFANYA WATU KUMUONA WA KAWAIDA KUMFIKIAUrais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Last week. Hawa watu ni wajinga sana.Lini hii?😀😀
Raisi wa kawaida hawezi kutenda tofauti na kawaida.WATU NI ******* SANA ETI WANAMSIFIA LEONARDO WAKATI NAYE ALIKUWA ANACHEKESHA USENGE TU ,NAHISI PRESIDENT SAHIVI ATAVIKACHA IVYO VIEVENT VYENYE JINA LAKE MAANA VINAMFANYA WATU KUMUONA WA KAWAIDA KUMFIKIA
THE ACCIDENTAL PRESIDENT AMA VIPISamia alitoka kwao na nazi zake na ng'onda wa samaki. Huu uraisi alikutana nao tu
Hana akijuacho kuhusu uraisi. Unamzungumzia raisi ambaye kuna baadhi ya wilaya na mikoa hajawahi kukanyaga kabisa
WASHAURI WAKE WANAMPOTEZA SIKU ATAHUDHURIA HADI KAJALA NA HARMONIZE WAKIVISHANA PETERaisi wa kawaida hawezi kutenda tofauti na kawaida.
Mama alicheka sana utani wa Leonardo, wewe unaona usenge mwenye uraisi wake kidogo aanguke, waziri wake akamdaka pale.WATU NI ******* SANA ETI WANAMSIFIA LEONARDO WAKATI NAYE ALIKUWA ANACHEKESHA USENGE TU ,NAHISI PRESIDENT SAHIVI ATAVIKACHA IVYO VIEVENT VYENYE JINA LAKE MAANA VINAMFANYA WATU KUMUONA WA KAWAIDA KUMFIKIA
We achana nao maana hata wakitaka wamuue. Hivi ni kina nani waliowapa hao wasanii mazoea na viongozi tofauti na hao hao CCM wenyewe? Ndugu kuna msemo usemao; Ukicheza na Mbwa atakufuata mpaka msikitini. Ndicho kinachowakuta CCM na viongozi wakuu wa nchi. Wamecheka na mbwa mwishoni wamenajisi msikiti. Achana nao tafuta ugali wa watoto kama unao na hata wajao.Urais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
kah!Shida ni Samia siyo said kujiweka karibu karibu na wahuni kama akina mwijaku na kitenge
Hakuna Shida …. It was a common joke . Rais ni mtu kama wengine…. Nini cha ajabu hapo mazeeUrais ni mamlaka ya juu kabisa hapa Duniani, chini yake unaongoza watu wa Kila aina ,wanaokutizama wee kama TUMAINI LAO LA MWISHO.
Rais anafaa muda wote kusikiliza Busara, Hekima na mashauri ya viongozi wa Dini na watu wenye Hekima kama Akina Daniel wa Biblía
Sasa Mnamwandalia Rais vitamasha Uchwara, alafu "mnamwambia Mama hiyo ni fursa ya kujiuza na kuzungumza na wananchi"...
Naye kwakua vitu anapenda ,vitu vya pwaniowani ,vitu vya kizenji ,anatoa Mguu ( inafikia wakati ,watu wanamuuliza kwenye Birthday ya mtoto wa Paula ).
Kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia ,Harmo kaachana na Kajala Mama, Manara karudiana na Zalisa Mama, Mama Kuna deal umenikosesha mama tungepiga Hela .
Hivi kweli Masikio ya Rais ndo yakusikia masuala ya kupelekana Moto??🤣🤣
Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.
Inategemea na anavyojiweka na kuchukulia. Kwa ilivyo yule anajichukulia kaa mgonjwa. Hachagui dawa. Atakuja kunywa dawa isoponya.WASHAURI WAKE WANAMPOTEZA SIKU ATAHUDHURIA HADI KAJALA NA HARMONIZE WAKIVISHANA PETE
Duuh wanapenda sana ShughuliLast week. Hawa watu ni wajinga sana.
Obama was the most common president hadi siku za mwisho za presidency Upinzani walisimama na ku appreciate kuwa jamaa ni humble na adabu sana. Mwenyewe anajiita president of the people sio mamlaka and he is very well mannered how to live with peopleHakuna Shida …. It was a common joke . Rais ni mtu kama wengine…. Nini cha ajabu hapo mazee
Obama was the most humbling president, hadi Club alikuwa anaenda in his presidency. Msi complicate snaa maisha….. kuna maisha baada ya Urais….. usiishi as if utakuwa Rais maisha yako yote.Mingle with the world ili kesho ukirudi mtaani…. Isiwe gumzo na jamii itajiamini kuwa huyu ni mwenzetu
Shida wengine wana igiza they are not such humbleObama was the most common president hadi siku za mwisho za presidency Upinzani walisimama na ku appreciate kuwa jamaa ni humble na adabu sana. Mwenyewe anajiita president of the people sio mamlaka and he is very well mannered how to live with people
Samia just did a small very small part of it
Samia is not humble … but she tries to be ndio maana ya hayo matukio yote na hizo awards….. kumchqngqnya na jamii
Jk was natural humble . Nilishawahi to meet na JK mara 3 . Moja nje ya nchi. Mbili TZ. The man is very humble … in your life ukija kukutana na JK hata maisha yako yatabadilika. Hii tabia kamrithisha Rizi one ! Ukifanikiwa kuonana na Rizi hata siku moja ……. Na unavo vigezo….. utatoka hapo ulipo
Ndio maana wanamtoa hayo matongo tongo kwa kum mix.otherwise ulikuwa ni basic jokeShida wengine wana igiza they are not such humble
Akili zimeshadumazwa kabisa!Ndugu zangu tembeeni muone, Akili ya Mtanzania, huwezi ikuta Mahali popote hapa Duniani .!!.