Eti Chris Brown ni Muafrika?

Eti Chris Brown ni Muafrika?

hiyo unayosema imeletwa na hao unaowaona bora kutuchonganisha wenyewe lakini amini tumebarikiwa mno ondoa hizo tofauti zilizotengenezwa na wazungu nk
Niko mkoa wa 11 kimaisha TZ, nnje ya nchi Kenya nilishaishi mikoa mitatu tu.

Watu wenye hekima nimekutana nao TZ haijalishi ni mpagani au ana dini gani lakini bado Watu wema wapo duniani.
 
Kwa jinsi alivyomgecha Rihanna lazima atakuwa mkurya huyu
Halafu ana bonge la rungu Hadi Rihanna akamwimba 'you remember how you'd fit in' maana drake na kibamia chake alikua akipwaya
 
Weusi wowote unatokea Afrika by asili hata kihistoria wawe wanatokea suriname, jamaica, New papua Guinea Wamarekani weusi, Amerika kusini, Cuba,Brazili na weusi wowote unaojua wewe walitokea Afrika miaka mingi mnoo wakafika huko ughaibuni wakabadilishwa majina yao ya asili na kupewa uraia wa maeneo husika lakini kwa sasa wanaitwa kwa nchi zao walizohamia mfano utamuita Mmarekani mwenye asili ya Afrika au Mmarekani mweusi, huo ndio ukweli mtupu 100% amaini tu baada ya hapo au kabla kulikua na utengano wa mabara kwa nguvu za asili walikuwepo huko wakabaki na sisi tukabaki haswa Afrika kasikazini pale juu kuna utengano fulani utaendelea kutokea utaanzia Ethiopia tena
 
Swali lilimhusu Chris Brown kama ni Mwafrika, au la! Na nimemjibu mtoa mada kulingana na uelewa wangu.

Sasa haya mambo ya Morocco yanatokea wapi tena?
Chris brown ana ngozi Kama yako na umetambua Kama marekani,vipi Morocco waliopotea Bara la Africa na Wana ngozi ya mtume,nao waafrika au laa!?
 
Chris brown ana ngozi Kama yako na umetambua Kama marekani,vipi Morocco waliopotea Bara la Africa na Wana ngozi ya mtume,nao waafrika au laa!?
Sina majibu sahihi kwa kweli.
 
hiyo unayosema imeletwa na hao unaowaona bora kutuchonganisha wenyewe lakini amini tumebarikiwa mno ondoa hizo tofauti zilizotengenezwa na wazungu nk
Ancestors wetu walikuwa wakipigana, wakilana nyama(cannibalism) na wakirogana kabla hata ya Wazungu na Waasia kufika Afrika.
Huu ujinga wa kila kitu kusingizia Wazungu ni kichaka cha kujifichia ambacho hakitusaidii.
 
Back
Top Bottom