NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ni kama yule Bob mlay mallya wa Jamaica.yule reggae man.kwani hauoni ana nywele za kipilipili...maswali gani hayo jombaaaa!!!! huyu jamaa ni mzaliwa kijiji cha kirima pale kibosho mazee,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama yule Bob mlay mallya wa Jamaica.yule reggae man.kwani hauoni ana nywele za kipilipili...maswali gani hayo jombaaaa!!!! huyu jamaa ni mzaliwa kijiji cha kirima pale kibosho mazee,,,
Morocco Ni Africa inayokaliwa na wavamimizi kutoka mashariki ya Kati.Kwa hiyo Morocco waafrika!?
Fafanua, kutoka nchi gani haswa mashariki ya katiAFco Ni Africa inayokaliwa na wavamimizi kutoka mashariki ya Kati.
We nae,si usome siku hizi maarifa yapo kiganjani?walitoka Yemen... present day SyriaFafanua, kutoka nchi gani haswa mashariki ya kati
Watanzania Ni wavivu Sana kusoma.Mkasome historia vizuri sio kila Black ni Muafrika na sio kila Muafrika ni Black, ndio maana kwenye Bara la Afrika utakuta rangi mchanganyiko pia,
Mkasome historia ya Bara la Amerika na hio Marekani yenyewe ilianza kukaliwa na kina nani kabla ya Wazungu,
Mkajiulize na Bara la Amerika Kusini kwanini rangi zao ni tofauti na watu wa Amerika Kaskazini?
Yemen ni present day Syria!?..kivipi!?..Yemen ni mashariki zaidi ya nchi za kiarabu,ikiwa mashariki mwa Saudi Arabia,afrika Ina waarabu nchi zaidi ya tano, misri,Algeria, Libya,Tunisia, Morocco..huko watu wengi kuliko Yemen na Saudi Arabia,ilikuaje Yemen pawe na waarabu wachache kuliko sehemu walizokwenda vamia!?EYsome siku hizi maarifa yapo kiganjani?walitoka Yemen... present day Syria
Ni mzanzibar, sio mwafrika.
Sio kweliAfrika ndio shina la weusi wote unaowaona duniani
EtiWe nae,si usome siku hizi maarifa yapo kiganjani?walitoka Yemen... present day Syria
Hiyo historia yake ni ya kuunga unga.Yemen ni present day Syria!?..kivipi!?..Yemen ni mashariki zaidi ya nchi za kiarabu,ikiwa mashariki mwa Saudi Arabia,afrika Ina waarabu nchi zaidi ya tano, misri,Algeria, Libya,Tunisia, Morocco..huko watu wengi kuliko Yemen na Saudi Arabia,ilikuaje Yemen pawe na waarabu wachache kuliko sehemu walizokwenda vamia!?
Mchanganyiko wa nchi za middle East.Fafanua, kutoka nchi gani haswa mashariki ya kati
Hivi ujafahamu ya kwamba Brazil ina Lebanese wengi ambao idadi yao inazidi population ya Lebanon kwa sasa?Yemen ni present day Syria!?..kivipi!?..Yemen ni mashariki zaidi ya nchi za kiarabu,ikiwa mashariki mwa Saudi Arabia,afrika Ina waarabu nchi zaidi ya tano, misri,Algeria, Libya,Tunisia, Morocco..huko watu wengi kuliko Yemen na Saudi Arabia,ilikuaje Yemen pawe na waarabu wachache kuliko sehemu walizokwenda vamia!?
Wenye Madai hayo husema waarabu ni saudia na Yemeni tu,Sasa ukichanganya saudia na Yemeni hawafiki 69m,Hawa waarabu wengine wanaodaiwa kuwa arabised na saudia na Yemeni imekuaje kuwazidi waasisi wao kwa idadi!?Mchanganyiko wa nchi za middle East.
Nini maana ya kuwa mwafrika?