Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Niko mkoa wa 11 kimaisha TZ, nnje ya nchi Kenya nilishaishi mikoa mitatu tu.hiyo unayosema imeletwa na hao unaowaona bora kutuchonganisha wenyewe lakini amini tumebarikiwa mno ondoa hizo tofauti zilizotengenezwa na wazungu nk
HayaNiko mkoa wa 11 kimaisha TZ, nnje ya nchi Kenya nilishaishi mikoa mitatu tu.
Watu wenye hekima nimekutana nao TZ haijalishi ni mpagani au ana dini gani lakini bado Watu wema wapo duniani.
Kwa hiyo Morocco waafrika!?Hapana, ni Mmarekani.
Weusi siyo uafrikaMbona hamuulizi kina beyonce, rihanna, nick, minaj tujue kama ni weusi wale?
Halafu ana bonge la rungu Hadi Rihanna akamwimba 'you remember how you'd fit in' maana drake na kibamia chake alikua akipwayaKwa jinsi alivyomgecha Rihanna lazima atakuwa mkurya huyu
Babake ana macho Kaa mbweha.Huyu ndo baba wa Chriss BrownView attachment 2526038
Swali lilimhusu Chris Brown kama ni Mwafrika, au la! Na nimemjibu mtoa mada kulingana na uelewa wangu.Kwa hiyo Morocco waafrika!?
Chris brown ana ngozi Kama yako na umetambua Kama marekani,vipi Morocco waliopotea Bara la Africa na Wana ngozi ya mtume,nao waafrika au laa!?Swali lilimhusu Chris Brown kama ni Mwafrika, au la! Na nimemjibu mtoa mada kulingana na uelewa wangu.
Sasa haya mambo ya Morocco yanatokea wapi tena?
Sina majibu sahihi kwa kweli.Chris brown ana ngozi Kama yako na umetambua Kama marekani,vipi Morocco waliopotea Bara la Africa na Wana ngozi ya mtume,nao waafrika au laa!?
Ancestors wetu walikuwa wakipigana, wakilana nyama(cannibalism) na wakirogana kabla hata ya Wazungu na Waasia kufika Afrika.hiyo unayosema imeletwa na hao unaowaona bora kutuchonganisha wenyewe lakini amini tumebarikiwa mno ondoa hizo tofauti zilizotengenezwa na wazungu nk
Kwani jamaa 'ngozi' yake unaijua? Iweje uandike CB ana ngozi kama yake.Chris brown ana ngozi Kama yako na umetambua Kama marekani,vipi Morocco waliopotea Bara la Africa na Wana ngozi ya mtume,nao waafrika au laa!?
Morocco waafrika waarabuSina majibu sahihi kwa kweli.