Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!
Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
Huo uchafu inakuwaje timu ya serikali?ndio mnavyojidanganya na kujifariji na umasikini wenu...na taifa star itakuwa timu ya nani?...club ya wahindi, Mo na dada yake faten, ila Yanga ni timu ya wananchi , kama ilivyo serikali inamilikiwa na wananchi
Tanganyika wacha lie liendelee kua koloni lazenjiIla watanganyika kwa Simba na Yanga!!!!!!!
Inasikitisha mno
Kaly'empaliHuo uchafu inakuwaje timu ya serikali?ndio mnavyojidanganya na kujifariji na umasikini wenu...na taifa star itakuwa timu ya nani?...
Pesa za kumchangia baba wa taia aende UN akadai uhuru wametoa vibopa wa Simba..yanga timu ya wavuvi na wacheza draft hawakuwa na chochote zaidi ya kutembea peku.
Daah sawa bana.Kaly'empali
Ndo maana Yanga hawana akiliclub ya wahindi, Mo na dada yake faten, ila Yanga ni timu ya wananchi , kama ilivyo serikali inamilikiwa na wananchi
HayaDaah sawa bana.