Eti club masikini inatakuinyang'anya mchezaji club tajiri

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!
Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
 
club ya wahindi, Mo na dada yake faten, ila Yanga ni timu ya wananchi , kama ilivyo serikali inamilikiwa na wananchi
Huo uchafu inakuwaje timu ya serikali?ndio mnavyojidanganya na kujifariji na umasikini wenu...na taifa star itakuwa timu ya nani?...

Pesa za kumchangia baba wa taia aende UN akadai uhuru wametoa vibopa wa Simba..yanga timu ya wavuvi na wacheza draft hawakuwa na chochote zaidi ya kutembea peku.
 
Kaly'empali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…