Eti Engineer mchina aliyesimamia ujenzi uwanja wa Mkapa alinyongwa kwao?

Eti Engineer mchina aliyesimamia ujenzi uwanja wa Mkapa alinyongwa kwao?

Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa,
Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ.

Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
piddy ni kweli hii taarifa?!
 
Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa,
Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ.

Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
Kuhusu kunyongwa ni maneno ya kijiweni tu. Na sijui yanaibuka vp
 
Hivi ndivyo VAR za CAF zimeuzoom uwanja wa mkapa nakufanya maamzi magumu. Kwahiyo goma ni Amani .... Ambaye hataki akate rufaa 😂😂
1747322565644.jpg
 
Wale waliotumwa na Berkane kuja kutazama mazingira ndio wamewachoma CAF

Magori aandike barua ya kugoma kwenda kucheza Zanzibar
 
Back
Top Bottom