Eti Fimbo ya mbali.... Mke wangu nimruhusu amegwe!

Hapo nakushauri Director awe Kanumba au Ray kigosi, unaweza toka kama 20%, kip it up mr...
 
kama ipo ipo tu...na; na hata akiliwa na wote hao bado atarudi nayo, so be strong and look beyond the incident
 
usikubali kamanda wamchezee wife wako, Mke kidonda jamani! heshima na utu wa Ngekewa vipo kwa mkewe, saa akiruhusu watu wambirue birue inamaana utu wake kwishnei. Mwambie huyo rafikiyo kwamba aunze heshima yako tafadhari
 
Ni vigumu sana kwako kuhamua lolote ukiwa Tanzania wakati yeye yuko huko ughaibuni. Mwambie mkeo atumie busara na afanye uamuzi ambao mtu yeyote mwenye busara ya kawaida angechukua uamuzi kama huo katika mazingira kama hayo.
 
Kwanza mi namshangaa mshikaji maisha magumu ndo umtume mkeo akatafute riziki ??
Nini maana ya baba ndiye kichwa cha familia !!!
 
uarabuni kuna viza za uyaya?????au mkeo aliendaje???mie nataka nikawe yaya huko lol,nahisi huu wote ni ushigongo....sijui mnapata nini kutunga?ukute wewe na mkeo wote mko hapo mwanakwelekwe...lol

Jest kwani uyaya lazima umangani hata hapa bongo naweza kukupa kazi ya uyaya kumsaidi mke wangu kazi kama unataka nipiemu tuongee mambo ya mkataba
 
yaani kadri unavozidi kusubiri ushauri hapa jf badala ya kufanya uamuzi ndivo huyo mkeo anavozidi kupumuliwa kifuani na huyo rafiki yako, changanya na zako mkuu, hapo utakuta tayari cha........******nne kesha pigwa mkeo.
 
usikubali kamanda wamchezee wife wako, Mke kidonda jamani! heshima na utu wa Ngekewa vipo kwa mkewe, saa akiruhusu watu wambirue birue inamaana utu wake kwishnei. Mwambie huyo rafikiyo kwamba aunze heshima yako tafadhari

Najihisi kuwa najihisi tu,sijui nifanye nini!
 
Ni vigumu sana kwako kuhamua lolote ukiwa Tanzania wakati yeye yuko huko ughaibuni. Mwambie mkeo atumie busara na afanye uamuzi ambao mtu yeyote mwenye busara ya kawaida angechukua uamuzi kama huo katika mazingira kama hayo.

Jee baadae nimuulize kafanya nini alichoona cha busara kutokana na mazingira?
 
Kwanza mi namshangaa mshikaji maisha magumu ndo umtume mkeo akatafute riziki ??
Nini maana ya baba ndiye kichwa cha familia !!!

Usinilaumu pengine nimewaangalia wale wanaoitwa wajesiliamali na rafiki nae akamaliza hoja!
 
yaani kadri unavozidi kusubiri ushauri hapa jf badala ya kufanya uamuzi ndivo huyo mkeo anavozidi kupumuliwa kifuani na huyo rafiki yako, changanya na zako mkuu, hapo utakuta tayari cha........******nne kesha pigwa mkeo.

Hayuko Kibaha kama nitachupia basi au Zanzibar kama nitapanda Sea Express.
 
Back
Top Bottom