Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Hapo nakushauri Director awe Kanumba au Ray kigosi, unaweza toka kama 20%, kip it up mr...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usingeenda wewe ukawe houseboy?
Hapo nakushauri Director awe Kanumba au Ray kigosi, unaweza toka kama 20%, kip it up mr...
kama ipo ipo tu...na; na hata akiliwa na wote hao bado atarudi nayo, so be strong and look beyond the incident
uarabuni kuna viza za uyaya?????au mkeo aliendaje???mie nataka nikawe yaya huko lol,nahisi huu wote ni ushigongo....sijui mnapata nini kutunga?ukute wewe na mkeo wote mko hapo mwanakwelekwe...lol
usikubali kamanda wamchezee wife wako, Mke kidonda jamani! heshima na utu wa Ngekewa vipo kwa mkewe, saa akiruhusu watu wambirue birue inamaana utu wake kwishnei. Mwambie huyo rafikiyo kwamba aunze heshima yako tafadhari
Ni vigumu sana kwako kuhamua lolote ukiwa Tanzania wakati yeye yuko huko ughaibuni. Mwambie mkeo atumie busara na afanye uamuzi ambao mtu yeyote mwenye busara ya kawaida angechukua uamuzi kama huo katika mazingira kama hayo.
Yuko Arabuni ya wapi? huenda nikakusaidia..
Kwanza mi namshangaa mshikaji maisha magumu ndo umtume mkeo akatafute riziki ??
Nini maana ya baba ndiye kichwa cha familia !!!
yaani kadri unavozidi kusubiri ushauri hapa jf badala ya kufanya uamuzi ndivo huyo mkeo anavozidi kupumuliwa kifuani na huyo rafiki yako, changanya na zako mkuu, hapo utakuta tayari cha........******nne kesha pigwa mkeo.