Kuna mtu aliye karibu na first family kaniambia kuwa Bi Mkubwa - First Lady amejifungua hivi karibuni, lakini suala zima linafanywa siri sana. Mimi nimeshangaa kwani sijawahi kumuona akiwa mja mzito. Au yale mavitenge aliyokuwa anajitanda atokeapo hadharani yalikuwa yanaficha tumbo? Mbona katika nchi za wenzetu First Family kupata mtoto Ikulu inakuwa ni habari kubwa, lakini hapa kwetu ni siri? Nadadisi tu.