Eti First Lady amejifungua hivi karibuni?

MzeePunch

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
1,412
Reaction score
203
Kuna mtu aliye karibu na first family kaniambia kuwa Bi Mkubwa - First Lady amejifungua hivi karibuni, lakini suala zima linafanywa siri sana. Mimi nimeshangaa kwani sijawahi kumuona akiwa mja mzito. Au yale mavitenge aliyokuwa anajitanda atokeapo hadharani yalikuwa yanaficha tumbo? Mbona katika nchi za wenzetu First Family kupata mtoto Ikulu inakuwa ni habari kubwa, lakini hapa kwetu ni siri? Nadadisi tu.
 
Nijuavyo mimi mafirst lady wako 2 bi mkubwa salma na yule shombe mwana wa zakhia megj, ni yupi kati yao?
 
Kuna mtu aliye karibu na first family kaniambia kuwa Bi Mkubwa - First Lady amejifungua hivi karibuni, lakini suala zima linafanywa siri sana. Mimi nimeshangaa kwani sijawahi kumuona akiwa mja mzito. Au yale mavitenge aliyokuwa anajitanda atokeapo hadharani yalikuwa yanaficha tumbo? Mbona katika nchi za wenzetu First Family kupata mtoto Ikulu inakuwa ni habari kubwa, lakini hapa kwetu ni siri? Nadadisi tu.

Kajifungulia wapi? Ama nchi gani?

Kwa normal delivery,ama caesaerean section...?
 
First Lady wa Chadema (Mrs Slaa mtarajiwa ) au wa Kikwete ?
 
Imefanywa siri kwa sababu madaktari wamegoma na labda walienda kwa wa kienyeji?
 
Wangemwaga mambo hadharani ili tumpelekee zawadi mfalme mtarajiwa!
 
Back
Top Bottom