Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!