Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

Hivi hawa ndio elimu ilikuwa bure unaenda mikono mitupu inakutana karamu na daftari tayari
 
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.

Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.

Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!

View attachment 1111592
[/QUOTE



























Wapi praise team "MATAGA" waje kutetea ubora wa elimu yao
 
Huyo anajua kula mbunye tuu sidhan atakama anajua mke wake anaingiaga mwezin maana sio kwa kuchanganyikiwa huko
Usiseme ati amechanganyikiwa. Angalia vaa yao, angalia tabasamu yao. Nadhani wanamuunga mkono rais wetu aliyetuhimiza tuzae yeye atawasomesha bureee. Nyiye ficheni mbegu zenu mkidhani kuwa ndio kazi mliotumwa ulimwenguni humu. Bwana akasema; Zaeni muongezeke. Hakusema mhesabu miaka ya watoto wala idadi. Ndo maana hata huyo mama aliyezaa kajui ameshazaa mara ngapi. Bwana anakumbuka watano ila mama aliyeibeba mimba hakumbuki ni ngapi. Kweli tunahitaji msaada wa kimataifa
 
Back
Top Bottom