Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itatuchukua vizazi vitano mpaka haya mazalia ya ujinga wa CCM yaishe. Nyerere alikuwa mtu mkali ila alitupa elimu ambayo ilitusaidia. Alipofanya makosa ya kutaifisha shule za makanisa tukaanza ujinga na ukaanza kuenea ndo baadaye akaleta UPE ikavuruga kila kitu. Wenzake wakaja na mitaala ya ajabu kama ya Mungai aliyevuruga wizara. Wakaja na shule za kata za Kayumba na tunaona vinavyoyumba.Usicheke ndugu yangu!!
Ndege na SGR ni muhimu sana kuliko elimu ya hawa watu na watoto wao,sasa hiyo reli na ndege zitasafirisha nini wakati wanaojengewa na kuletewa dreamliner ndio hawa-anaejua jibu la swali hilo ni Magufuli tuKuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!
View attachment 1111592
Swadaktaaa!!!!Ukiona chama kimoja kinakaa madarakani miaka nenda rudi kwa nchi maskini kama hizi ujue wasiojitambua ni wengi kuliko wanaojitambua.
Upuuzi mtupuShida kubwa mlionayo bawacha na viongozi wenu ni dharau na ujuaji mwingi bila kusahau midomo mirefu na ndio maana mnaendelea kuwa wapinzani wa kudumu..... ukweli ni kwamba CCM itaendelea kupata kura nyingi kwakuwa asilimia kubwa ya watanzania wako hivyo na wengine ni dada zenu na mama zenu.
Maana kama kweli nyie mtaji wenu ni wasomi mbona matokeo ya kila uchaguzi hayaoneshi kuwa wasomi wana wapenda....
Endeleeni na dharau....
Kwangu lililonisikitisha na kuniumiza ni kwamba tuna watu wakitazama video kama hiyo wanaishia kucheka. Naamini mtu anayecheka ujinga wake ni maradufu tena ujinga wake ni wa hatari kwa taifa kuliko hata hao anaowacheka. Hao ndio mtaji wa CCM katika uchaguzi.Inasikitisha na kuumiza sana!
Hiyo 2021 inayotajwa sijui ni ipi??
Shida kubwa mlionayo bawacha na viongozi wenu ni dharau na ujuaji mwingi bila kusahau midomo mirefu na ndio maana mnaendelea kuwa wapinzani wa kudumu..... ukweli ni kwamba CCM itaendelea kupata kura nyingi kwakuwa asilimia kubwa ya watanzania wako hivyo na wengine ni dada zenu na mama zenu.
Maana kama kweli nyie mtaji wenu ni wasomi mbona matokeo ya kila uchaguzi hayaoneshi kuwa wasomi wana wapenda....
Endeleeni na dharau....
haaaa haaaaa Leo nmecheka Hadi machozi upinzani kwenda kijijini ni kupoteza pesa.
...hawa ndio eti wanaletewa bombadia sijui na tulen za umeme kwakweli ccm imedumaza fikra za wananchi watu wamekua kama misukule mtu kama huyu umwambia fisadi la kijani limeiba bilion 2 atakuelewa kweli! Bora ata uyu uko vijijini wapo watu hawajawai kupanda gari mpaka wamezeeka...nenda kisiwa cha irugwa au kulazu wilayani ukerewe utashangaa maajabu ya dunia baba mtu mzima yuko na watoto ajui lami ni kitu gani
Mtanivunja mbavu jamani daa2021 BC