Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,103
Mimi nimesikitishwa sana na huwa wanaocheka na kuwakejeli wasukuma. Hata huyo mwandishi wa habari naona ana tatizo kubwa kuliko hao anaowahoji, anauliza maswali katika namna ambayo hawawezi kujibu, kwa kifupi ni hawafahamu anaowauliza. Mbali na kutokuwa na formal education, hao watu Kiswahili ni shida, angepatikana mtu anayejua lugha yao kuwahoji. Na huyu aliyewahoji alikuwa na lengo gani?
Mwisho kabisa, nyie mnaobeza kuwa hawa ndio wapiga kura wa CCM, idadi ya wasiojua kusoma na kuandika ilikuwa kubwa kipindi cha harakati za uhuru na baaada ya uhuru,wamelipigania taifa kuliko nyie much know.