Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesema Mashinji aongeze juhudi huko kanda pendwa.haaaa haaaaa Leo nmecheka Hadi machozi upinzani kwenda kijijini ni kupoteza pesa
Dharau iko wapi? Yaani kusema ukweli ni dharau? Wanaowadharau watanzania ni wale wanaokimbilia kununua ndege badala ya kuajiri waalimu wa kutosha ili watu wao waelimishwe!Na kwa dharau kama hizi ndio maana upinzani mnaangukia pua kila mara. endeleeni kuwadharau watanzania.
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!
aiseee hatari fire, hao wasiposhauriwa wanaweza kuzaa hata watoto 15 au zidi, imagine 2014-2019 tayari watoto 5
View attachment 1111592
Hiyo ndiyo Tanzania inayoshuhudia kipindi cha "Kishindo cha awamu ya Tano" kwenye TBC kila siku!!Daaah kweli ni shida... daaah kweli Mungu tusaidie
Inaumiza sana kuona hivi.Inasikitisha na kuumiza sana!
Daaah kweli ni shida
Mimi ningekuwa mbunge wa hao watu ningehakikisha naitafuta hii familia kwa nguvu zote, nahakikisha watoto wote wako shuleni na nitakuwa nawafuatilia kwa karibu... huenda ikasaidia kuifutia hii familia ujinga
Mimi kama mimi sio mbunge wala nini ningekuwa karibu na hii familia ningeangalia hapo yule anaeonekana anawepesi ningedeal nae mpaka nihakikishe amemaliza vidato na chuo.
Siwezi wala kudhubutu kucheka aiseee mama ni mjamzito wala haelewi kama ana mimba baba ndio kabisaa hajui hata tarehe na mwezi maana yake nini daaah kweli Mungu tusaidie
Dharau iko wapi? Yaani kusema ukweli ni dharau? Wanaowadharau watanzania ni wale wanaokimbilia kununua ndege badala ya kuajiri waalimu wa kutosha ili watu wao waelimishwe!
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!
View attachment 1111592
watanzania wamedharauliwa na serikali ya ccm kwa kushindwa kuwapa haki zao za msingi ikiwemo elimu ya utambuzi.Na kwa dharau kama hizi ndio maana upinzani mnaangukia pua kila mara. endeleeni kuwadharau watanzania.
Ndivyo mkuu,kumtawala mjinga ni rahisi kama kumsukuma mlevi.ndio maana ma ccm wako bize na hizi shule za kata kiwanda cha kuzalisha wajinga Tanzania.Halafu watanzania wenye viwango hivi kwakweli bado tuko wengi na huo ndo mtaji wa ccm!
watanzania wamedharauliwa na serikali ya ccm kwa kushindwa kuwapa haki zao za msingi ikiwemo elimu ya utambuzi.
sasa huyo mama anatofauti gani na mnyama asiye na maarifa?
inaumiza sana
Umeongea point kubwa sana Mkuu Daemusin na hawa wahuni sasa wanaelewa fika kwamba elimu duni kwa Watanzania inawaletea manufaa makubwa sana na kutimiza lengo lao la kuitawala Tanzania milele. Hivyo elimu nchini wameamua kuiangusha rasmi ili waendelee kunufaika kwa miaka mingi ijayo.