Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

.
Zama zimebadilika aisee hii nchi Bado tunasafari ndefu
...hawa ndio eti wanaletewa bombadia sijui na tulen za umeme kwakweli ccm imedumaza fikra za wananchi watu wamekua kama misukule mtu kama huyu umwambia fisadi la kijani limeiba bilion 2 atakuelewa kweli! Bora ata uyu uko vijijini wapo watu hawajawai kupanda gari mpaka wamezeeka...nenda kisiwa cha irugwa au kulazu wilayani ukerewe utashangaa maajabu ya dunia baba mtu mzima yuko na watoto ajui lami ni kitu gani
 
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.

Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.

Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!

View attachment 1111592
Hapo ndipo usipotakiwa kushangaa ile hesabu ya "...ajira elfu arobaini na sita na laki..." HAYO NDIO MAZAO NA MATUNDA YA CCM - UJINGA SI ADUI WA TAIFA
 
.
...hawa ndio eti wanaletewa bombadia sijui na tulen za umeme kwakweli ccm imedumaza fikra za wananchi watu wamekua kama misukule mtu kama huyu umwambia fisadi la kijani limeiba bilion 2 atakuelewa kweli! Bora ata uyu uko vijijini wapo watu hawajawai kupanda gari mpaka wamezeeka...nenda kisiwa cha irugwa au kulazu wilayani ukerewe utashangaa maajabu ya dunia baba mtu mzima yuko na watoto ajui lami ni kitu gani
Tatizo ni CCM + Mwenge
 
Shida kubwa mlionayo bawacha na viongozi wenu ni dharau na ujuaji mwingi bila kusahau midomo mirefu na ndio maana mnaendelea kuwa wapinzani wa kudumu..... ukweli ni kwamba CCM itaendelea kupata kura nyingi kwakuwa asilimia kubwa ya watanzania wako hivyo na wengine ni dada zenu na mama zenu.
Maana kama kweli nyie mtaji wenu ni wasomi mbona matokeo ya kila uchaguzi hayaoneshi kuwa wasomi wana wapenda....

Endeleeni na dharau....
 
hata hujaeleweka tatizo lako ni nini?
Kuipigia kura CCM na hiyo video vina husiana nini mwisho wa siku kura ni siri ya mtu
Na kila mtu anamchagua amtakaye
 
...
Shida kubwa mlionayo bawacha na viongozi wenu ni dharau na ujuaji mwingi bila kusahau midomo mirefu na ndio maana mnaendelea kuwa wapinzani wa kudumu..... ukweli ni kwamba CCM itaendelea kupata kura nyingi kwakuwa asilimia kubwa ya watanzania wako hivyo na wengine ni dada zenu na mama zenu.
Maana kama kweli nyie mtaji wenu ni wasomi mbona matokeo ya kila uchaguzi hayaoneshi kuwa wasomi wana wapenda....

Endeleeni na dharau....
....si leteni tume huru ya uchaguzi muone mziki wa upinzani ccm bila kubebwa haiwezi kushinda ata udiwani..kwasasa kampeni vyama vingine mmevikataza ila ninyi mnazunguka kutwa nzima kufanya kampeni bado ukitokea uchaguzi mdogo mnaogopa mpaka mnatengeneza matukio feki ionekane upinzani haukubaliki. Nakuagiza kawashauli wenzako mwisho wa mabavu umekalibia wajiandae kutafuta kazi zingine 2020
 
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.

Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.

Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!

View attachment 1111592

Halafu ' mkidudeliwa ' na ' kunyalandaliwa ' na ' wanaojulikana ' mnakimbilia ' Kulialia ' na kuomba misaada ili mponyeke.
 
leteni tume huru ya uchaguzi muone mziki wa upinzani ccm bila kubebwa haiwezi kushinda ata udiwani..kwasasa kampeni vyama vingine mmevikataza ila ninyi mnazunguka kutwa nzima kufanya kampeni bado ukitokea uchaguzi mdogo mnaogopa mpaka mnatengeneza matukio feki ionekane upinzani haukubaliki. Nakuagiza kawashauli wenzako mwisho wa mabavu umekalibia wajiandae kutafuta kazi zingine 2020
Ruta anajidai na kutawala kumtawala mtu hohehahe una sijikiaje? Mtu unajisifu kwa kumiliki baiskeli ya mbao(miti) nawe unajifanya bora badilika ishomile
 
Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.

Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.

Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!

View attachment 1111592
Hii video ni tamthilia/mchezo wa kuigiza au ni hali halisi?
 
Back
Top Bottom