Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Usicheke ndugu yangu!!Teh teh teh teh
Hiyo 2021 inayotajwa sijui ni ipi??Hahahahah Tuko kwenye laiti traki
Fafanua kidogo!!Knowledge vs UZOEFU
Halafu hawa ni kutoka ile kanda pendwa ambayo ni highly populated region, hakika mtaji wa CCM ni ujinga .Kuna mambo ukiyaona na kuyasikia hapa kwetu Tanzania wakati mwingine unaudhika, unacheka, unakata tamaa na mwisho wa siku unaishia kusikitika.
Wakati Twaweza walipokuja na utafiti wao wa kuonesha kwamba CCM inaungwa mkono na watu wasio na elimu sikuelewa. Lakini video hii imenifanya nielewe ni kwa nini CCM inaungwa mkono na watu wa aina hiyo.
Hawa wanaoonekana kwenye video hii kwa Umri walio nao bila ya shaka ni wapiga kura tarajali kwenye uchaguzi wa 2020, ni AIBU ILIOJE!
View attachment 1111592
Kibajaji JuniorUsicheke ndugu yangu!!
Umeongea kwa hisia sana!!Wanatia huruma hata miaka hawajui
Huyo anajua kula mbunye tuu sidhan atakama anajua mke wake anaingiaga mwezin maana sio kwa kuchanganyikiwa hukoUmeongea kwa hisia sana!!