Eti hawa ni wapiga kura 2020, nimesikitika sana!

Jee hawa nao ndiyo wamelengwa kuandikishwa kuwa wapiga kura?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ elfu mbili na ishirini na moja!! This is what called time travel!!! Dah!
 
Duh, huyu jamaa keshafika 2021! Time travel?
 
Hahahaaaa hawa utawafundisha nini kuhusu haki zabinadamu??
 
Hii lazima ucheke.
Ndugu zangu hao
 
Usisahau wazee wa TASAF.Mwaka 2020 nikiwa wakala uchaguzi mkuu niliyashuhudia mwenyewe.Hakika ngome za CCM ni umasikini na ujinga.Vijana nao hawana muda na kuamua nani aongoze nchi.USHABIKI MWINGI KUPIGA KURA NO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…