Na mwili unakakamaa kama degedege piaAfanyiwe maombi
Anatumia dawa za vidonda vya tumbo lkn tatizo linazidi Kuwa kubwa anapata kama degedege pia lkn hospital wanasema hakuna tatizoacheki vidonda vya tumbo, hiyo hali ilinipata nikiwa nimezidiwa na vidonda vya tumbo japo iliambatana na dalili nyinginezo, yaani ni kama kichomi fulani kinakupelekea kushindwa kupumua vizuri kwa muda fulani mpaka kitakapoachia, na hiyo hali unayosema kukamaa ni namna pekee ya kurespond hayo maumivu maana hauwezi kufanya chochote zaidi ya kukakamaa kwa muda mpaka kichomi kitapoachia,
kama ana dalili zinginezo kama maumivu ya tumbo au tumbo kujaa gesi aende kupima vidonda vya tumbo japo si lazima kuwa na dalili zote maana hutegemea ni sehemu gani imeathirika zaidi
dawa za vidonda vya tumbo hasa H P Kit zina side effect zake kwa kuwa ni kali sana, lakini unaweza ona tatizo linaongezeka ila ndo kupona kwakeAnatumia dawa za vidonda vya tumbo lkn tatizo linazidi Kuwa kubwa anapata kama degedege pia lkn hospital wanasema hakuna tatizo
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo