Eti hii imekaaje

Eti hii imekaaje

Taitu2024

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2024
Posts
244
Reaction score
295
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo
 
Inaweza ikawa ni aleji au mapepo pia maana tuliekumbana na uchawi tunajua shughuli yake
 
Mbona ni Vidonda vya tumbo hivyo bwashee... ! dalili zinapointi kwenye vidonda mkuu.

Huna haja ya kufanya vipimo. Nenda tu upewe dawa, dalili zinafanana na za mgonjwa wangu pia.
 
acheki vidonda vya tumbo, hiyo hali ilinipata nikiwa nimezidiwa na vidonda vya tumbo japo iliambatana na dalili nyinginezo, yaani ni kama kichomi fulani kinakupelekea kushindwa kupumua vizuri kwa muda fulani mpaka kitakapoachia, na hiyo hali unayosema kukamaa ni namna pekee ya kurespond hayo maumivu maana hauwezi kufanya chochote zaidi ya kukakamaa kwa muda mpaka kichomi kitapoachia,
kama ana dalili zinginezo kama maumivu ya tumbo au tumbo kujaa gesi aende kupima vidonda vya tumbo japo si lazima kuwa na dalili zote maana hutegemea ni sehemu gani imeathirika zaidi
 
Anatumia dawa za vidonda vya tumbo lkn tatizo linazidi Kuwa kubwa anapata kama degedege pia lkn hospital wanasema hakuna tatizo
 
Anatumia dawa za vidonda vya tumbo lkn tatizo linazidi Kuwa kubwa anapata kama degedege pia lkn hospital wanasema hakuna tatizo
dawa za vidonda vya tumbo hasa H P Kit zina side effect zake kwa kuwa ni kali sana, lakini unaweza ona tatizo linaongezeka ila ndo kupona kwake
ila kwa suala la degedege sijajua, labda wataalam watusaidie
 
Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo

Chest pain , hiyo ni blockage / blood stuck
So tunahitaji kuvunja blockage / improve circulation
Atakuwa sawa , tatizo liko kwenye hatua za awali so linasababishwa na Energy flow disorder na kusababisha mzunguko wa damu kukwama ,hivyo maumivu kama hayo kutokea !
Vipimo vya hospitali haviwezi ona kwa sababu tatizo halijaleta hitilafu kwenye Mifumo
Ila lisiposhughulikiwa kikamilifu litaenda hatua nyingine ambayo ni Late stage kuleta hitilafu kwenye Mfumo wa Moyo / Organ damage,
Vipimo hapo vitaona ila kutibika itakuwa shida kubwa sana !

Treatment plan :
1. Improve Circulation
2. Clear phlegm toxin
3. Ease pain

Atakuwa sawa !
Tupigie tutamsaidia , dawa zetu ni Natural na hazina side effect, zina uwezo mkubwa sana wa kutibu !

Cont : 0757577995 / 0653048888
www.heshoutang.com/heshoutang-dar-es-salaam-tanzania-office
 
Back
Top Bottom