Eti hii ndiyo nchi yangu? 😔

Eti hii ndiyo nchi yangu? 😔

Chatterman

Senior Member
Joined
May 25, 2024
Posts
185
Reaction score
378
Daah! Hii nchi hiii.

Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo.

Si ajabu atakuja Rais kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpaka umauti utakapomkuta.

Kwanini watu wa nchii hii vitu vizuri huchelewa kuvikubali? Tumekuwa Raia wa Libya, Gaddafi alipoenda na maji ndo wakajua ugumu wa maisha ni upi.

Acha nilale niamke 2050 huenda nitaamka kwenye nyumba ya dhahabu nayo itakuwa inamilikiwa na mtu fukara.

SIO LAZIMA UELEWE KILA KITU
 
Daah! Hii nchi hiii.

Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo.

Si ajabu atakuja Raisi kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpka umauti utakapomkuta.

Kwa nini watu wa nchii hii vitu vizuri huchelewa kuvikubali? Tumekuwa Raia wa Libya, Gaddafi alipoenda na maji ndo wakajua ugumu wa maisha ni upi.

Acha nilale niamke 2050 huenda nitaamka kwenye nyumba ya dhahabu nayo itakuwa inamilikiwa na mtu fukara.

SIO LAZIMA UELEWE KILA KITU
Mambo yaliharibika 2005 baada ya tabasam kushika hatam!

Siasa ikawa ndio kazi inayolipa Sana kuliko professionalism!Sasa ili upate uhakika was kesho ya ulaji wa kisiasa ukaaasisiwa uchawa!yaani hata kama unakosea hawakuambii wanakusifu TU!

Cha kusikitisha na Dola nayo ikajikalia kimya ikiwaacha wanasiasa wanajiamlia TU hatma ya nchi wanavyojisikia !wakijilipa Sana wakiziacha professional mtambuja kama ualim,udaktari,uafisa ugani na mifugo ukipata malipo kiduchu kuliko ubunge wenye chawa ndani yake!!

Sector zenye kugusa wengi kama elim ,mifugo na afya watumishi wakabaki Wana Lia lia Hadi leo!!

Dola itakapojitambua itatokomeza malipo makubwa kwenye mishahara ya wanasiasa na siasa kubaki KAZI ya kizalendo TU!
 
Leo hii Mwanasiasa ndiye anayeonekana bora kuliko kiumbe yoyote nchini. Mtu ambayo hutumia mdomo pekee kusimamia watu.

Inasikitisha Wajenzi wa nchi madaktari, wakandarasi, walimu, wasomi, wakulima kwa wafugaji wanaonekana vichekesho tu.

Natamani hiyo siku ifike ambapo SIASA IBAKI KAMA KAZI YA KIZALENDO Tu.
 
Back
Top Bottom