Daah! Hii nchi hiii.
Kuna muda nakaa naisikitikia hii nchi kwa namna inavyoendeshwa, Kumbe nchi nayo inanisikitikia jinsi ninavyoishi maisha ya kimaskini na utajiri upo.
Si ajabu atakuja Raisi kama JPM lakini watu hawatamwelewa mpka umauti utakapomkuta.
Kwa nini watu wa nchii hii vitu vizuri huchelewa kuvikubali? Tumekuwa Raia wa Libya, Gaddafi alipoenda na maji ndo wakajua ugumu wa maisha ni upi.
Acha nilale niamke 2050 huenda nitaamka kwenye nyumba ya dhahabu nayo itakuwa inamilikiwa na mtu fukara.
SIO LAZIMA UELEWE KILA KITU