Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Pesa/hela/fuba haijaumbwa na Mungu, ni kazi ya mwanadamu acha waitumie wapendavyo[emoji23]
 
Mleta mada huna hela za namna hiyo ndio maana inakukera. Lakini siku ukizipata za kutosha na zikawa zinazidi kuingia utanunua hata condom kwa milioni [emoji817]. Jiulize tu swali dogo kwanini tunanunua vito vya thamani kwa gharama kubwa sana. Ukishanunua then what. Hakuna cha ziada zaidi ya urembo na sifa. Ukiwa na hela utahitaji privilege. Lazima utofautishwe na watu wengine. Pia hiyo gari unasema mbaya angalia uwezo wa engine na material zilizotumika kutengeneza. Sio vitz hiyo mkuu.
 
Dogo beba box achana na maisha ya watu na kama maisha ya mbele yamekushiñda rudi nyumbani usije ukawa kama Dr shika
 
Kweli mkuu yaani imekuwa kama maonyesho vile, wote wanakuja kutanua hapa kuanzia Qatar, UAE, Kuwait na Saudia
Imefika mahali mpaka wananchi wanaoishi maeneo hayo wamechoka na bughudha zao.

Nasikia kuna mdada mmoja familia ya mfalme alinunua mtaa kwa yeyote anaeuza anamuongezea hela nyingi zaidi ya thamani ya nyumba ili vijana wajitanue tu.

Kuna msaudia alikuja na magari manne ya kifahari na yote painted in gold ikawa ni mapicha tu hahahaha
 
Hilo gari sio la watu 2 tu huko nyuma huwa linaweza kukunjuka kukapatikana nafasi nyingine ya watu 3 na boot. Liko very automatic.Pia lina features nyingi tu ambazo magar mengi hayana.

Nani kakwambia,hilo gari ni la kifala sana.

Napenda sport cars lakini atleast iwe na 4 seaters sio couple.
 
Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
Kodi yako wewe unayeshindia uji usio na sukari inatumika kununulia watawala magari ya milioni zaidi ya mia mbili kwa gari moja na bado wanatumia kodi yako kujazia mafuta na vipuri vya mabilioni ila wewe hilo halikuumi! Innakuuma mtu anayetumia pesa aliyoipata kwa jasho lake kununua kile akipendacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…