omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,206
- 17,683
D😀😀😀 Hizo chai mjumbeUnashangaa hilo kuna kipindi John Terry aliwahi kumpa barmaid Milioni 20 za kibongo (kipu chenchi)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
D😀😀😀 Hizo chai mjumbeUnashangaa hilo kuna kipindi John Terry aliwahi kumpa barmaid Milioni 20 za kibongo (kipu chenchi)
Pesa/hela/fuba haijaumbwa na Mungu, ni kazi ya mwanadamu acha waitumie wapendavyo[emoji23]Mzuqa,
Yani binadamu hapana.
Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735
Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737
Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.
Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.
narumuk
[emoji23]Hiyo siyo Tecno.
Ndiyo wapi huko mkuu?Tanzania hiiNiliwahi kuona jamaa mmoja anapita nalo Maswa.
Maswa zipo nyingi kuna moja iko Hajiga kule Botswana na nyingine iko Tanzania.Ndiyo wapi huko mkuu?Tanzania hii
Usiku au mchana?Niliwahi kuona jamaa mmoja anapita nalo Maswa.
Dogo beba box achana na maisha ya watu na kama maisha ya mbele yamekushiñda rudi nyumbani usije ukawa kama Dr shikaMzuqa,
Yani binadamu hapana.
Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari. Unajiuliza why? mbona watu wamekosa utu na hofu ya Mungu kuchezea pesa namna hii.
View attachment 937735
Kwanza gari lenyewe linasura mbaya. Viti ni vya wawili tu. Halafu halina hata buti sijui ukienda shopping utaweka wapi vitu. Wazungu wamekuwa watu wa hovyo sana.
View attachment 937736View attachment 937737
Hata kama ni class na kusifiwa huu ni upuzi. Hata renji na v8 haifikii huko.
Yani kagari kadogo kabaya kanazidi hadi thamani ya nyumba? Eti kwa kuwa kametengenezwa na material za thamani. Fikiria nyumba ya million mia tu ilivyo na thamani msingi nondo na takataka zote.
narumuk
Kweli mkuu yaani imekuwa kama maonyesho vile, wote wanakuja kutanua hapa kuanzia Qatar, UAE, Kuwait na SaudiaTena hao wanawapa taabu sana wale jamaa wa Parking kwani hayo magari huja na ndege na nwisho wa matanuzi hurudi na hayo magari yao kwao Saudia.
Yaani wamechoka kutoa tickets kwani namba za usajili si za UK.
Kuna sehemu ingine ya matanuzi kule Hide Park utayaona mengi tu na hata polisi hupiga nayo picha.
🙂🙂
Usiku au mchana?
Tulia wewee mkaldayoDogo beba box achana na maisha ya watu na kama maisha ya mbele yamekushiñda rudi nyumbani usije ukawa kama Dr shika
Mbona taa zipo!!Mchana. usiku litapitaje halina taa.
Hilo gari sio la watu 2 tu huko nyuma huwa linaweza kukunjuka kukapatikana nafasi nyingine ya watu 3 na boot. Liko very automatic.Pia lina features nyingi tu ambazo magar mengi hayana.
Leo upo off kwenye kubeba boxTulia wewee mkaldayo
Wasiojulikana watahamia kwakoHii ukimiliki hapa bongo jiwe ataumia sana. TRA wataulizwa kwann wamekuruhusu, pia ujiandae kuchunguzwa.
Tulia wewee mkaldayosehem gani mkuu
H[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maswa ya Paris hiyo , tehtehteh! Wabongo bana , huyu mshikaji aliona Toyota Carina akaifananisha na PorsheThis is too much mods ingilieni kati
Haaaaah haaaah...Niliwahi kuona jamaa mmoja anapita nalo Maswa.
Kodi yako wewe unayeshindia uji usio na sukari inatumika kununulia watawala magari ya milioni zaidi ya mia mbili kwa gari moja na bado wanatumia kodi yako kujazia mafuta na vipuri vya mabilioni ila wewe hilo halikuumi! Innakuuma mtu anayetumia pesa aliyoipata kwa jasho lake kununua kile akipendacho?Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu