Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sifa na utukufu vipo kwa Mungu.
Okay kumbe wewe ni Ngosha ndio maana unapenda sana sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay kumbe wewe ni Ngosha ndio maana unapenda sana sifa
Kulia kuku msala eti?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wabongo kwa kurahisha bhana.
Buti ya nini mkuu?
Hiyo gari sio ya mizigo, ni gari ya kula bata.
This is too much mods ingilieni kati
Huyo jamaa hana akili ..hajui ka kila gari iko na purpose yake yeye anaweza taka buggati iwe na sehemu ya kufunga telaGari kuwa na buti wazungu washaondoka huko...
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Tena umesahau na kama halipati mimba wasahau kabisa kwangu
duh!! we ninomaMkuu kama unapenda siti nyingi na buti kubwa unanunua basi[emoji3][emoji3]
hahahahahahah, nimeamua kumtania mkuu.Hii gari sio ya kulalamikia siti chache au buti dogo ...duh!! we ninoma
huyo ni wa kumpuzia tu. hajui watu tunatofautiana uwezohahahahahahah, nimeamua kumtania mkuu.Hii gari sio ya kulalamikia siti chache au buti dogo ...
Gari kuwa na buti wazungu washaondoka huko...
Hahah kwamba ni overcheating ama!This is too much mods ingilieni kati
Oooh so sad!.... Kumbe Paul walker hii ndo ilimuua?hii Porshe Carrera GT ina buti mbele engine ipo nyuma.... kuna yule mtoto wa tajiri wa kenya ilimuuwa mwezi wa saba nairobi nahisi...
inahitaji uwe pro kuhandle power ya hii gari one mistake unabaki kuwa historia ni the same car iliyomuuwa paul walker
yah ilikuwa gari kama hiiOooh so sad!.... Kumbe Paul walker hii ndo ilimuua?
[emoji22] basi sikulitambua gari....nakumbuka tyrese aliangua kilioyah ilikuwa gari kama hii
Hii ni kweli kama huku tabata aroma kuna duka la nguo na huyu Nandy basi nguo anazovaa yeye ndie zinauzwa hapo na watu wanazigombaniaWazeee hiyo ni ndinga ya shows off, siyo gari ya matumizi (siyo ya kusafirishia familia wala mizigo ya familia) kama unamtoko na upo na mtoto mkali pembeni inakuwa poa sana
Pia,wanaomiliki magari kama hayo ni mastaa wa mambele kama akina the late Paul Walker,Dan Trejo,Anold Shwaznigger,The Rock,Luda Chris,CR7 na wengineo...wanamiliki ndinga za bei kutokana na biashara zao pamoja na matangazo
Vilevile hayo magari huwa hawadumu nayo kwa muda mrefu kwa kuwa huwa wanawauzia watu wengine ambao wanatafuta umaarufu (kumbuka kuna watu wananunua mpaka chupi za mastaa kwa mamilioni ili wapate attention kwenye midia,siyo kwamba hawana chupi za kuvaa au hawawezi nunua chupi za bei ndogo....maisha hatuwezi kufanana)