Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

umeanza vizuri umemaliza vibaya ...kuchezeaje pesa yan...?? unajua utajiri Wa anae nunua gari hilo ana pesa kiasi gani au unadhan anatoka kwenye spacio ndo aingie hapo?? had unakuta mtu ana nunua gari ya hivo pesa IPO RR hapo alipo zinaeza kuwa za kutosha ...

kinachokusumbua ni umaskini ...Ndo wale unamuona mtu kanunua gari ya bil 1 unaanza waza angenunua yutong kadhaa apige hela !! kwani unadhan hiyo pesa kaokota?? alishapiga pesa ndo zikajaa akanunua ndinga hilo ...


yan unataka uende nalo shoping unataka liwe na but ya kutosha ..that's a sport car sio gari ya familia
 
Write your reply... umeanza vizuri umemaliza vibaya ...kuchezeaje pesa yan...?? unajua utajiri Wa anae nunua gari hilo ana pesa kiasi gani au unadhan anatoka kwenye spacio ndo aingie hapo?? had unakuta mtu ana nunua gari ya hivo pesa IPO RR hapo alipo zinaeza kuwa za kutosha ...

kinachokusumbua ni umaskini ...Ndo wale unamuona mtu kanunua gari ya bil 1 unaanza waza angenunua yutong kadhaa apige hela !! kwani unadhan hiyo pesa kaokota?? alishapiga pesa ndo zikajaa akanunua ndinga hilo ...


yan unataka uende nalo shoping unataka liwe na but ya kutosha ..that's a sport car sio gari ya familia
 
Bilion mbili halafu viti viwili. Si bora nikanunue YUTONG lenye viti 50 na buti kama ukumbi wa sherehe.

Chenji inayobaki nikanunue korosho tu.
 
hahhaha.,acha kupangia watu matumizi mkuu kama una uchungu sana tafuta na wewe hela
 
hii Porshe Carrera GT ina buti mbele engine ipo nyuma.... kuna yule mtoto wa tajiri wa kenya ilimuuwa mwezi wa saba nairobi nahisi...

inahitaji uwe pro kuhandle power ya hii gari one mistake unabaki kuwa historia ni the same car iliyomuuwa paul walker
Oooh so sad!.... Kumbe Paul walker hii ndo ilimuua?
 
Haka nahisi hakapat ajali,na kakipata haufi,na ukifa utalipwa billions of money na watengenezaj....a was just thinking loud
 
Wazeee hiyo ni ndinga ya shows off, siyo gari ya matumizi (siyo ya kusafirishia familia wala mizigo ya familia) kama unamtoko na upo na mtoto mkali pembeni inakuwa poa sana
Pia,wanaomiliki magari kama hayo ni mastaa wa mambele kama akina the late Paul Walker,Dan Trejo,Anold Shwaznigger,The Rock,Luda Chris,CR7 na wengineo...wanamiliki ndinga za bei kutokana na biashara zao pamoja na matangazo
Vilevile hayo magari huwa hawadumu nayo kwa muda mrefu kwa kuwa huwa wanawauzia watu wengine ambao wanatafuta umaarufu (kumbuka kuna watu wananunua mpaka chupi za mastaa kwa mamilioni ili wapate attention kwenye midia,siyo kwamba hawana chupi za kuvaa au hawawezi nunua chupi za bei ndogo....maisha hatuwezi kufanana)
Hii ni kweli kama huku tabata aroma kuna duka la nguo na huyu Nandy basi nguo anazovaa yeye ndie zinauzwa hapo na watu wanazigombania
 
Back
Top Bottom