Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
Duuh kama naona leo watu watakavyooanza kubadili majina. Nahisi kuna uhusiano fulani na maneno yako kuna jamaa yangu anajina mojawapo katika majina hayo hapo juu duu ni NOMARRRRRRRRR
nikikwambia jina langu utacheka sana...lakini wadada wanaonifata wanajaa air msae
unamshobokea eeh!?