Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
hiyo kali duuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wakuu!!naomba kuuliza,eti ni kweli wakaka wenye kuitwa majina ya Matt na chriss ndo wanaongoza kwa kushobokewa na wanawake hapa duniani?
Makubwa!!
Mwaka huu lazima na mimi nitalichonga jina langu ili liishie na hizo herufi!.
Haya kuanzia saa hii jina langu jipya litakuwa Sweetbert!.Hubert, Nobert, Robert, Wilbert, Albert, Gilbert, Stuart, Stewart...nk....jichagulie hapo.......hi hi hi hi.....