William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua
2. Kutofanya mazungumzo na club.
3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya kisheria au labda Wana kumbukumbu za maamuzi ya FIFA kwa kesi Kama hizo walizotumia)
4. Kuna vipengere ambavyo vinambana Feitoto ndani ya mkataba. (Lakini hajavitaja. Na hapa uwenda Kuna hoja. Tff ikitoa ufafanuzi hapa utasaidia saidia Sana klabu)
Tff kwanza ijue swala la Feisal Salum sio la Simba na uyanga.
Iweje wapate muda wa kuzungumzia hili lkn hawaweki hukumu?!!
Hukumu ya Feitoto kuwa wazi Ni semina tosha kwa wachezaji na vilabu ili kujua namna ya kufunga mikataba. Tff uweke wazi tu walivyoshugulikia Hilo swala, vipengere walivyopitia na maamuzi yalivyofikiwa sio hizo kampeni.
Mpaka Sasa hukumu yenye mwenendo mzima wa shauri Tff bado hawajampa Feitoto, hawataki kutoa hadharani na bado wanasema wanataka kusaidia wachezaji kujua mikataba yao.
Pili kumekuwa na lugha gongana. Kamati inasema haikumuhoji Feitoto lkn wakili wake anasema alihojiwa. Je Kuna Nini Kati apa
Kwa mujibu wa kiongozi wa kamati ya Sheria ya Tff mpaka Sasa Feisal hajapewa hukumu yake. (Kwasababu anasema akitaka watampa bila kusema lini)7