Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

Huu uzi sijui ni wa ngapi! Atakuwa amepewa hela ya bando bila shaka na hao wapuuzi wenzake waliomshawishi huyo dogo.

Siyo bure kwa mtu mzima na akili zako, kutwa nzima unakuja na mada zenye maudhui yale yale!! "Fei Toto kaonewa", mara sijui "Fei Toto hajatendewa haki"!!!

Ujinga mtupu
Fei toto,mtoto mdogo,elimu ndogo akadanganywa na akadanganyika.Sasa analia na kusaga meno
 
Mbona unateseka sana? Kutwa unalialia tu kuhusu hiyo kesi ya Fei Toto! Unatafuta huruma? Umeajiriwa kwa kazi hiyo?

Si mlijitapa humu ya kwa kwamba huyo mchezaji atatambulishwa mapema iwezekanavyo kwenye hiyo timu yake mpya?

Kwa Morrison mlifurahi sana! Ila kwa huyu dogo, mnalia! Hopeless kabisa. Na yeye apeleke mashtaka yake CAS, kama walivyofanya Yanga kipindi kile! Badala ya kutafuta huruma, kwa ujinga wake mwenyewe
Hizi sasa ni hasira, muache jamaa aandike tu, wewe kama una hoja za utetezi weka hapa, usimshambulie mleta mada, kwani kufanya hivyo ni dalili ya maumivu ya moyo.
 
Mbumbumbu mnaona haki tu ikiwa YANGA imeshindwa,
Mnaona RUSHWA ikiwa YANGA amefanikiwa iwe uwanjani au kwenye KESI.

Chomoa bomba mzee utaumia, maana umeikalia upande upande, itaharibu njia ya haja kubwa
Hamkosekanagi msio na adabu.
 
Hizi sasa ni hasira, muache jamaa aandike tu, wewe kama una hoja za utetezi weka hapa, usimshambulie mleta mada, kwani kufanya hivyo ni dalili ya maumivu ya moyo.
Tatizo mnazingua. Mbona kwa Morrison mlishangalia! Iweje kwa Fei Toto mlalamike? Ni kwa sababu dili limebuma!!!
 
Elewa sio huruma. Tunataka hukumu. Hukumu na mwenendo wa kesi yake Ni muhimu kwa mwanamichezo yoyote. Ata Kama atafungiwa lkn tuelezwe vipengere vilivyotumikA
Hili sikata litakuwa ni funzo kwenu nyinyi wote mlio mvimbisha kichwa huyo dogo.

Ona sasa umebakia tu kuwa kituko. Maana umechagua kumpigania mtu ambaye ana uwezo wa kujipigania mwenyewe.
 
Back
Top Bottom