Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

Fei toto,mtoto mdogo,elimu ndogo akadanganywa na akadanganyika.Sasa analia na kusaga meno
 
Hizi sasa ni hasira, muache jamaa aandike tu, wewe kama una hoja za utetezi weka hapa, usimshambulie mleta mada, kwani kufanya hivyo ni dalili ya maumivu ya moyo.
 
Key ya mkataba ni terms and conditions.

Kabla ya kusema kua fei toto ameonewa,je umeona terms and conditions za mikataba wake dhidi ya Yanga?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbumbumbu mnaona haki tu ikiwa YANGA imeshindwa,
Mnaona RUSHWA ikiwa YANGA amefanikiwa iwe uwanjani au kwenye KESI.

Chomoa bomba mzee utaumia, maana umeikalia upande upande, itaharibu njia ya haja kubwa
Hamkosekanagi msio na adabu.
 
Hizi sasa ni hasira, muache jamaa aandike tu, wewe kama una hoja za utetezi weka hapa, usimshambulie mleta mada, kwani kufanya hivyo ni dalili ya maumivu ya moyo.
Tatizo mnazingua. Mbona kwa Morrison mlishangalia! Iweje kwa Fei Toto mlalamike? Ni kwa sababu dili limebuma!!!
 
Elewa sio huruma. Tunataka hukumu. Hukumu na mwenendo wa kesi yake Ni muhimu kwa mwanamichezo yoyote. Ata Kama atafungiwa lkn tuelezwe vipengere vilivyotumikA
Hili sikata litakuwa ni funzo kwenu nyinyi wote mlio mvimbisha kichwa huyo dogo.

Ona sasa umebakia tu kuwa kituko. Maana umechagua kumpigania mtu ambaye ana uwezo wa kujipigania mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…