Eti huyu ndio demu mwingine anayetoka na Diamond

Eti huyu ndio demu mwingine anayetoka na Diamond

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Kwamujibu wa TeamUkwelinaUwazi instagram.... Nanukuu....




 
ngoma inogile ana fikiri kubadilisha mademu sifa ana ulimbukeni mbaya
 
Kwa hili nakusifu diamond, mi mwenyewe hayajaninyokeea tu mbona asingekuwa anakatiza mlala chali mbele yangu.
 
poor me insta kwangu imecollapse, na siipati tena napitwa hadi nahisi homa
 
Kama wanashoboka nikuwanyosha safii tu na endelee kuwapigaa tu
 
wengine huku ni wasikilizaji na watazamaji tu
 
Haya Langu jiko tuuuu..........mtu anaona mwenzie kamwagwa kwa matarumbeta na yeye anaingia kwa Baikoko,kwa raha zenu wadada...
 
Acha kijana awape kik warembo nao wapate kujulikana japo kwa mbaaaaali.
 
Back
Top Bottom