Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao wademu zake kazi wanazo
Wanafata umaarufu na pesa
Basi atakuwa maarufu kama penny....bongo bwana....kicheche wa kinondoni mkwajuni huyo hana jipya
Mie uko ndo hata sitaki kujua kunafananaje....poor me insta kwangu imecollapse, na siipati tena napitwa hadi nahisi homa
Mie uko ndo hata sitaki kujua kunafananaje....
Kwa hili nakusifu diamond, mi mwenyewe hayajaninyokeea tu mbona asingekuwa anakatiza mlala chali mbele yangu.