Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Asante sana Gaijin kweli wewe Mwalimu ...

Shetani mwenyewe alikuwa Malaika wa mungu lakini one day alitaka kuwa zaidi mungu..

Zaidi ndo maana huwa hata tukiapa tunasema mungu nisaidie

Orayt,,,sasa FL1 tuambie msimamo wako.........

Utavumilia mpaka ziraili akutembelee?
 
wasaidie DENA hawa watu humu wanpenda watu waongo tu

Waongo na wanafiki ndo saizi yao.

Nasema hivi na huu ndio msimamo wangu na sitabadili kitu hapa:

Wanawake wanatoka nje ya ndoa!!! Tuache unafiki bana sababu tu ndo zinatofautiana
 
Waongo na wanafiki ndo saizi yao.

Nasema hivi na huu ndio msimamo wangu na sitabadili kitu hapa:

Wanawake wanatoka nje ya ndoa!!! Tuache unafiki bana sababu tu ndo zinatofautiana

Aisee Dena leo mi kazi yangu ni kukugongea mathenksi tu.

Najua unayaandika haya kwa kuwa una marafiki/dada/majirani/wafanyakazi wenzio ambao unawajua wanayafanya hayo.Si eti eh?

Ila watu ubishi tuuuuuu! Dah!
 
Hivi "impotence" inaendana na kuacha kunywa bia?

Inaweza visiendane lakini vikawa na uhusiano; Bia inaongeza ufanisi kwenye kuondoa impontence.

Hii yaweza kuwa sababu nyingine? Ukizingatia sababu zinapungua baada ya mitambo ya Dowans kuwashwa!
 
Aisee Dena leo mi kazi yangu ni kukugongea mathenksi tu.

Najua unayaandika haya kwa kuwa una marafiki/dada/majirani/wafanyakazi wenzio ambao unawajua wanayafanya hayo.Si eti eh?

Ila watu ubishi tuuuuuu! Dah!

Wabishi lakini ndo watendaji wakuu babu asikwambie mtu hawa wanaopinga kwa kutenda haooo acha kabisa.

Kuna mtu aliwahi kuniambia mimi bwana story nyingi no kazi yangu moja tu kutenda kwisha
 
:focus::focus:
Haya hebu tudiscuss Dena kushindwa kuvumilia hivi ni kwanini unashindwa kuwa mvumilivu aisee unajua kuvumilia ni kipawa tulichopewa na Mungu naomba ukitumie vizuri. kwahiyo vumilia tu hata kama ikiliwa na nyenyere wewe vumilia tu
 
Aisee Dena leo mi kazi yangu ni kukugongea mathenksi tu.

Najua unayaandika haya kwa kuwa una marafiki/dada/majirani/wafanyakazi wenzio ambao unawajua wanayafanya hayo.Si eti eh?

Ila watu ubishi tuuuuuu! Dah!

Sijayaona bana acha kunitania wewe mkubwa sasa
 
Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!
 
Haya hebu tudiscuss Dena kushindwa kuvumilia hivi ni kwanini unashindwa kuwa mvumilivu aisee unajua kuvumilia ni kipawa tulichopewa na Mungu naomba ukitumie vizuri. kwahiyo vumilia tu hata kama ikiliwa na nyenyere wewe vumilia tu

Kitu chochote kisipotumika muda mrefu huharibika hata gari usipoliendesha siku nyingi utakuta kutu kibao.

Kwa hiyo kitu bila kutumia utakuwa na ny***** nak uchekacheka hovyo aisee usipeleke kwingine mengine yanafaa tuongelee kule kwa wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…