Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Babu naona umeanza kuwauliza kama walikuwa na miaka 25 sasa.

25 kitu gani, hata 35 ngumu kuvuta subira.

Disclaimer:
Ikiwa wewe unaweza kuvumilia , shukuru Mungu na uzidi kusali kuomba Mungu akupe uwezo huo daima

Ikiwa wewe unajiona huwezi kuvumilia, omba Mungu akupe uwezo huo, au akupe uwezo wa kulitatua hilo suala bila ya kumuumiza zaidi mume wako.

Tuombe Mungu yasitukute tu haya mambo, manake kwa kweli ni magumu.

Hakika
 
kiukweli mimi binafsi ninao wa tatu. Na mungu anajua so siku ya ndoa ninapotoa kiapo ,nitaweka kigugumizi maksudi ili watu wajue kuna sam things ukweli. Ili wale wanaume wangu kila mmoja kwa wakati wake ajue kumbe huyu atakua ananipa ' Na nilazima niwape kwani siku husband akipata tatizo ninamaliza hukoooo!!!! Na sio home kwani sita mruhusu isreli wala ibilisi aje kuonyesha umufla wangu home kwangu na my husband. Kwahiyo mkuu ndi hivyo. Asante kwa mada. Ila Kime.... usijali we ndio utakua wapili.
:rain::rain::rain::rain:
 
daah Loveness love umeniacha hoi.
I hope ur not serious @ all
 
Mimi changu kinanikatalia pia.

Lakini wasemao waweza weshaanza kuja juu, kwa hiyo nawapa benefit of the doubt

Mwalimu wangu Gaijin....

Hapo kwenye red panawezekana? Chukulia mtu tunayemzungumzia hapa awe kigori wa miaka 22.

Mi kichwa changu kinanikatalia, sijui kwanini lakini!
 
Lakini mama, si unamalizia huko mbali? Si lazima umlete nyumbani bana....Life must to go on!

Kama nitakuwa namwogopa mume wangu tu, hilo rahis sana kufanya. Na kamwe hatajua...! Ila sasa kuna yupo ambaye aonaye sirini yote uyafanyayo! Na huyo aonaye sirini anaweza pia kunisaidia kama yakinikuta hayo magumu ambayo kwa uwezo wangu mimi siwezi!

Hivi eti wewe babu, naomba niulize; yaani wewe umeweka sredi ili u-confirm findings zako kuwa...haiwezekani kuvumilia??? Mbona hutaki kukubaliana na some few cases ambazo unaweza ukaziita.."Extreme cases au outliers???
 
Say no to UZINZI, ukiamua kuwa mwaminifu unaweza!! Ukiamua kuushinda mwili wako unaweza. Ukiamua kutoabudu tendo la ndoa unaweza. Ukiamua kutuabudu na kusujudia NGONO unaweza. Ukiamua kuishi maisha ya utakatifu unaweza!!!!

Michelle anachokisema nakiamini asilimia mia moja!!! Na hata msipoamini hakuna shida manake haibadilishi Neema ya Mungu, nimeipenda hoja yake manake hajaacha kusema kwamba anayaweza kwa Neema na Msaada wa Mungu, kama mnaamini haiwezekani kuacha Ibada kwa roho ya Uzinzi, basi aminini kwa neema ya Mungu inawezekana kuishi bila hiyo kitu.

Kuhusu hao wanandoa mi naweza kusema sio bure kuna roho ya mauti ilikuwa inawafatilia rangu mwanzo, kuanzia huyo baba kuumia kiuono mpaka kitendo alichokifanya huyo mama lazima kulikuwa na nguvu nyingine ya kimasudi iliyokuwa inawafatilia wanandoa hawa. Na ndio maana aliishia kujinyonga, Pengine angemtafuta Mungu akatubu dhambi yake Mungu angemrehemu tu.

Hata hivo nazidi kufikiria sio nguvu ya kawaida iliyokuwa inafanya kazi ndani yao kwani haileti maana huyo mama kumpeleka huyo mzinzi mwenzie nyumbani kwa mume wake. Kwa hiyo target ya shetani ilikuwa ni kuwamaliza wote kwa njia ya mauti, sema hilo pepo la uzinzi lilikuwa chambo tuuu!!

Wito wangu kwa wanaume na wanawake!!
Mungu yupo na mungu anafanya kazi na wale wampendao, ukichagua kumpenda Mungu na kudhamiria kuzishika sheria zake atakuwezesha ktk kila jambo, hata ukianguka atakurudisha mapema hata kuacha mauti ukukute katika hali ya uovu.

Mungu ni mwema kwa wote wampendao.
 
Kama nitakuwa namwogopa mume wangu tu, hilo rahis sana kufanya. Na kamwe hatajua...! Ila sasa kuna yupo ambaye aonaye sirini yote uyafanyayo! Na huyo aonaye sirini anaweza pia kunisaidia kama yakinikuta hayo magumu ambayo kwa uwezo wangu mimi siwezi!

Hivi eti wewe babu, naomba niulize; yaani wewe umeweka sredi ili u-confirm findings zako kuwa...haiwezekani kuvumilia??? Mbona hutaki kukubaliana na some few cases ambazo unaweza ukaziita.."Extreme cases au outliers???

Hahahahaha.......ngoja nikachekee nje kule.

Nafanya research bana....nimekamata tenda kwenye journal flani hivi....
 
Nami naona..ila sasa uko biased!

Siko biased ila upande mmoja kila siku unaonekana ndio unaotumika.........kwa mara ya kwanza leo nimesikia kina mama wakisapoti upande wa pili. Ndo maana nikainamia huko ili nichote mengi zaidi.

Samahani kama nimekukwaza!
 
kiukweli mimi binafsi ninao wa tatu. Na mungu anajua so siku ya ndoa ninapotoa kiapo ,nitaweka kigugumizi maksudi ili watu wajue kuna sam things ukweli. Ili wale wanaume wangu kila mmoja kwa wakati wake ajue kumbe huyu atakua ananipa ' Na nilazima niwape kwani siku husband akipata tatizo ninamaliza hukoooo!!!! Na sio home kwani sita mruhusu isreli wala ibilisi aje kuonyesha umufla wangu home kwangu na my husband. Kwahiyo mkuu ndi hivyo. Asante kwa mada. Ila Kime.... usijali we ndio utakua wapili.

Nimecheka mpaka nikagonga haka ka kitu hapa chini. Huo ndo msimamo unaotakiwa bana tuache kuwa waongo ubarikiwe

The Following User Says Thank You to loveness love For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Babu naona umeanza kuwauliza kama walikuwa na miaka 25 sasa.

25 kitu gani, hata 35 ngumu kuvuta subira.

Disclaimer:
Ikiwa wewe unaweza kuvumilia , shukuru Mungu na uzidi kusali kuomba Mungu akupe uwezo huo daima

Ikiwa wewe unajiona huwezi kuvumilia, omba Mungu akupe uwezo huo, au akupe uwezo wa kulitatua hilo suala bila ya kumuumiza zaidi mume wako.

Tuombe Mungu yasitukute tu haya mambo, manake kwa kweli ni magumu.

Hata 45 nayo ngumu bana acha mchezo kabisa na hiyo kitu
 
Nimecheka mpaka nikagonga haka ka kitu hapa chini. Huo ndo msimamo unaotakiwa bana tuache kuwa waongo ubarikiwe

The Following User Says Thank You to loveness love For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
Dena sijakuelewa bado yaani kwa vile wewe sio muaminifu unataka kuaminisha na watu wengi kuwa na wao sio waaminifu, bwana kama wewe sio muaminifu usifikiri na wengine wako hivyo bana
 
Babu mdogo kuna aliyekuridhisha na majibu tuandae lile dau?

Babu mi naona wengi sana wanakimbilia kuazima NGUVU za Muumba lakin sioni aliyetengua mtego wako kwa point. Ila wapo wale waliokubali hoja kama Chauro, Dena Amsi, Gaijin. Hawa wataishi bila stress
 
Dena sijakuelewa bado yaani kwa vile wewe sio muaminifu unataka kuaminisha na watu wengi kuwa na wao sio waaminifu, bwana kama wewe sio muaminifu usifikiri na wengine wako hivyo bana

Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.

We Dogo chunga kauli yako!
 
Back
Top Bottom