CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Babu naona umeanza kuwauliza kama walikuwa na miaka 25 sasa.
25 kitu gani, hata 35 ngumu kuvuta subira.
Disclaimer:
Ikiwa wewe unaweza kuvumilia , shukuru Mungu na uzidi kusali kuomba Mungu akupe uwezo huo daima
Ikiwa wewe unajiona huwezi kuvumilia, omba Mungu akupe uwezo huo, au akupe uwezo wa kulitatua hilo suala bila ya kumuumiza zaidi mume wako.
Tuombe Mungu yasitukute tu haya mambo, manake kwa kweli ni magumu.
Hakika