Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!
Amen, mtumishi wa Bwana nitakuja madhabauni nikiongozana na Pope Kaizer
naomba unidai ice cold pilsnerkitu chochote kisipotumika muda mrefu huharibika hata gari usipoliendesha siku nyingi utakuta kutu kibao.
Kwa hiyo kitu bila kutumia utakuwa na ny***** nak uchekacheka hovyo aisee usipeleke kwingine mengine yanafaa tuongelee kule kwa wakubwa
Amen, mtumishi wa Bwana nitakuja madhabauni nikiongozana na Pope Kaizer
Nitakuja na mwanakondoo aliyepotea anaitwa Dena ili aombewe, hivi kuna haja ya kumleta Babu Asprin kwa ajili ya kuonana na mpaka mafuta wa bwanaKaribu sana mpendwa.Usimwache wiselady.Huku mlimani upako ni mkubwa sana.
naomba unidai ice cold pilsner
Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!
Hata Majambazi kabla ya kuiba huwa wanamuomba Mungu ili wanafikishe ujambazi waoWalewale unakimbilia kwenye mungu acha hizo bana
Nitakuja na mwanakondoo aliyepotea anaitwa Dena ili aombewe, hivi kuna haja ya kumleta Babu Asprin kwa ajili ya kuonana na mpaka mafuta wa bwana
Hata Majambazi kabla ya kuiba huwa wanamuomba Mungu ili wanafikishe ujambazi wao
Keren_Happuch :wink2::wink2:Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!
Naomba salamu zangu kwa Kaizer zipitie kwako l.o.l
Sijui kwanini hawataki kunijibu asee!
Keren...with serious note: Hiyo ikiwa imekutokea ukiwa na miaka 25...utavumilia mpaka ziraili akukamate ukiwa na miaka kama 80 hivi?
kiukweli mimi binafsi ninao wa tatu. Na mungu anajua so siku ya ndoa ninapotoa kiapo ,nitaweka kigugumizi maksudi ili watu wajue kuna sam things ukweli. Ili wale wanaume wangu kila mmoja kwa wakati wake ajue kumbe huyu atakua ananipa ' Na nilazima niwape kwani siku husband akipata tatizo ninamaliza hukoooo!!!! Na sio home kwani sita mruhusu isreli wala ibilisi aje kuonyesha umufla wangu home kwangu na my husband. Kwahiyo mkuu ndi hivyo. Asante kwa mada. Ila Kime.... usijali we ndio utakua wapili.
Keren_Happuch :wink2::wink2:
Hivi kweli babu..mwanaume ninayempenda ameumia amelala kitandani, hawezi! Hivi nina ujasiri gani huo kweli wa kumufanyia unyama huo! Nafsi yangu inanisuta...! Ninaamini Mungu atafanya mlango wa kutokea kwa hilo jaribu, aidha amponye mue wangu, kama haponi basi nami vya kwangu vilale usingizi, ili nisipate taabu! Ni ngumu, lakini everthing is possible with God if only believe!
Babu naona umeanza kuwauliza kama walikuwa na miaka 25 sasa.
25 kitu gani, hata 35 ngumu kuvuta subira.
Disclaimer:
Ikiwa wewe unaweza kuvumilia , shukuru Mungu na uzidi kusali kuomba Mungu akupe uwezo huo daima
Ikiwa wewe unajiona huwezi kuvumilia, omba Mungu akupe uwezo huo, au akupe uwezo wa kulitatua hilo suala bila ya kumuumiza zaidi mume wako.
Tuombe Mungu yasitukute tu haya mambo, manake kwa kweli ni magumu.
Wale watakaovumilia mpaka mwisho ndi watakaoshinda...asema Bwana.