Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!

Key board na screen tu dada usichukie eeehhh
 
kitu chochote kisipotumika muda mrefu huharibika hata gari usipoliendesha siku nyingi utakuta kutu kibao.

Kwa hiyo kitu bila kutumia utakuwa na ny***** nak uchekacheka hovyo aisee usipeleke kwingine mengine yanafaa tuongelee kule kwa wakubwa
naomba unidai ice cold pilsner
 
Karibu sana mpendwa.Usimwache wiselady.Huku mlimani upako ni mkubwa sana.
Nitakuja na mwanakondoo aliyepotea anaitwa Dena ili aombewe, hivi kuna haja ya kumleta Babu Asprin kwa ajili ya kuonana na mpaka mafuta wa bwana
 
Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!

Keren...with serious note: Hiyo ikiwa imekutokea ukiwa na miaka 25...utavumilia mpaka ziraili akukamate ukiwa na miaka kama 80 hivi?
 
Wewe haya ngoja na mimi sasa niingie huko huko "Si kila asemaye bwana bwana atauona ufalme wa Mungu"

Utanitambuaje kama nimeokokaaa ...........endelea by Bony Mwaitege
 
Babu mimi nilishatoa mchango wangu na msimamo wangu; japokuwa na wanaJF wanasema sisi ni wanafiki na tunajifanya! Sasa sielewi wamenijuaje kama mimi ni mnafiki na najifanya malaika! mhhh!!!! Ofcos, kila mtu anaijua nafsi yake mwenyewe!
Keren_Happuch :wink2::wink2:
 
Sijui kwanini hawataki kunijibu asee!

kiukweli mimi binafsi ninao wa tatu. Na mungu anajua so siku ya ndoa ninapotoa kiapo ,nitaweka kigugumizi maksudi ili watu wajue kuna sam things ukweli. Ili wale wanaume wangu kila mmoja kwa wakati wake ajue kumbe huyu atakua ananipa ' Na nilazima niwape kwani siku husband akipata tatizo ninamaliza hukoooo!!!! Na sio home kwani sita mruhusu isreli wala ibilisi aje kuonyesha umufla wangu home kwangu na my husband. Kwahiyo mkuu ndi hivyo. Asante kwa mada. Ila Kime.... usijali we ndio utakua wapili.
 
Keren...with serious note: Hiyo ikiwa imekutokea ukiwa na miaka 25...utavumilia mpaka ziraili akukamate ukiwa na miaka kama 80 hivi?

Hivi kweli babu..mwanaume ninayempenda ameumia amelala kitandani, hawezi! Hivi nina ujasiri gani huo kweli wa kumufanyia unyama huo! Nafsi yangu inanisuta...! Ninaamini Mungu atafanya mlango wa kutokea kwa hilo jaribu, aidha amponye mue wangu, kama haponi basi nami vya kwangu vilale usingizi, ili nisipate taabu! Ni ngumu, lakini everthing is possible with God if only believe!
 
kiukweli mimi binafsi ninao wa tatu. Na mungu anajua so siku ya ndoa ninapotoa kiapo ,nitaweka kigugumizi maksudi ili watu wajue kuna sam things ukweli. Ili wale wanaume wangu kila mmoja kwa wakati wake ajue kumbe huyu atakua ananipa ' Na nilazima niwape kwani siku husband akipata tatizo ninamaliza hukoooo!!!! Na sio home kwani sita mruhusu isreli wala ibilisi aje kuonyesha umufla wangu home kwangu na my husband. Kwahiyo mkuu ndi hivyo. Asante kwa mada. Ila Kime.... usijali we ndio utakua wapili.

Hahahahahaha!

Ngoja nisepe hapa! Thread ishachakachuliwa!~
 
Babu naona umeanza kuwauliza kama walikuwa na miaka 25 sasa.

25 kitu gani, hata 35 ngumu kuvuta subira.

Disclaimer:
Ikiwa wewe unaweza kuvumilia , shukuru Mungu na uzidi kusali kuomba Mungu akupe uwezo huo daima

Ikiwa wewe unajiona huwezi kuvumilia, omba Mungu akupe uwezo huo, au akupe uwezo wa kulitatua hilo suala bila ya kumuumiza zaidi mume wako.

Tuombe Mungu yasitukute tu haya mambo, manake kwa kweli ni magumu.
 
Hivi kweli babu..mwanaume ninayempenda ameumia amelala kitandani, hawezi! Hivi nina ujasiri gani huo kweli wa kumufanyia unyama huo! Nafsi yangu inanisuta...! Ninaamini Mungu atafanya mlango wa kutokea kwa hilo jaribu, aidha amponye mue wangu, kama haponi basi nami vya kwangu vilale usingizi, ili nisipate taabu! Ni ngumu, lakini everthing is possible with God if only believe!

Lakini mama, si unamalizia huko mbali? Si lazima umlete nyumbani bana....Life must to go on!
 
Babu naona umeanza kuwauliza kama walikuwa na miaka 25 sasa.

25 kitu gani, hata 35 ngumu kuvuta subira.

Disclaimer:
Ikiwa wewe unaweza kuvumilia , shukuru Mungu na uzidi kusali kuomba Mungu akupe uwezo huo daima

Ikiwa wewe unajiona huwezi kuvumilia, omba Mungu akupe uwezo huo, au akupe uwezo wa kulitatua hilo suala bila ya kumuumiza zaidi mume wako.

Tuombe Mungu yasitukute tu haya mambo, manake kwa kweli ni magumu.

Mwalimu wangu Gaijin....

Hapo kwenye red panawezekana? Chukulia mtu tunayemzungumzia hapa awe kigori wa miaka 22.

Mi kichwa changu kinanikatalia, sijui kwanini lakini!
 
Back
Top Bottom