just do it.umeona eeeeh?
Dena sijakuelewa bado yaani kwa vile wewe sio muaminifu unataka kuaminisha na watu wengi kuwa na wao sio waaminifu, bwana kama wewe sio muaminifu usifikiri na wengine wako hivyo bana
Babu mi naona wengi sana wanakimbilia kuazima NGUVU za Muumba lakin sioni aliyetengua mtego wako kwa point. Ila wapo wale waliokubali hoja kama Chauro, Dena Amsi, Gaijin. Hawa wataishi bila stress
Kheeee Kheeeee babu mbona umewahi kuwa hakimu kwa mjukuu wako, hivi huyu Dena naye ni mjukuu wako???????Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.
We Dogo chunga kauli yako!
Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.
We Dogo chunga kauli yako![/QUOTE]
Nimekugongea kale ka kitu haka hapa chini. Huyu dogo sijui vipi bana anajisemea kwanza kuoa hajaoa atoe wapi uzoefu
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
Dena Amsi (Today)
Ha aha ahaaaa hii inadhihirisha kuwa wewe ni MWAMINIFUUsininukuu vibaya kijana umesikia??? Sijamlazimisha mtu yoyote kutokuwa mwaminifu sawa. Kama wewe mwaminifu endelea kuwa hivyo hivyo
Siko biased ila upande mmoja kila siku unaonekana ndio unaotumika.........kwa mara ya kwanza leo nimesikia kina mama wakisapoti upande wa pili. Ndo maana nikainamia huko ili nichote mengi zaidi.
Samahani kama nimekukwaza!
Kheeee Kheeeee babu mbona umewahi kuwa hakimu kwa mjukuu wako, hivi huyu Dena naye ni mjukuu wako???????
Kwani waliooa na kuolewa wana muhuri kheeee kheeeee btw umejuaje..........Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.
We Dogo chunga kauli yako![/QUOTE]
Nimekugongea kale ka kitu haka hapa chini. Huyu dogo sijui vipi bana anajisemea kwanza kuoa hajaoa atoe wapi uzoefu.
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
Dena Amsi (Today)
Kwa mujibu wa lile jukwaa lako, hii nyepesi sana.
Hujambo my love?
Mimi wala sijakwazika...!
Ila sasa, inaonekana ni ngumu kujua nani yuko serious na kile anaandika! Mimi nilifkiri tunakuwa wakweli katika michango yetu, lakini sijui kama ni hivyo kwa wote!!
sababu nzito ya kukutana JJ, kujadili hoja kwa kina.
Karen nakutafuta my dear,
Hivi naruhusiwa kuomba muongozo ili kuleta Black Label....sababu nzito ya kukutana JJ, kujadili hoja kwa kina.
Karen nakutafuta my dear,