Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Babu, au kuna mtu umemuona katengua mtego?
 
Dena sijakuelewa bado yaani kwa vile wewe sio muaminifu unataka kuaminisha na watu wengi kuwa na wao sio waaminifu, bwana kama wewe sio muaminifu usifikiri na wengine wako hivyo bana

Usininukuu vibaya kijana umesikia??? Sijamlazimisha mtu yoyote kutokuwa mwaminifu sawa. Kama wewe mwaminifu endelea kuwa hivyo hivyo
 
Babu mi naona wengi sana wanakimbilia kuazima NGUVU za Muumba lakin sioni aliyetengua mtego wako kwa point. Ila wapo wale waliokubali hoja kama Chauro, Dena Amsi, Gaijin. Hawa wataishi bila stress

Yeah...umemsahau Lizzy, Buke, Loveness Love na DaMie....hili dau itabidi tulipigie kura asee!
 
Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.

We Dogo chunga kauli yako!
Kheeee Kheeeee babu mbona umewahi kuwa hakimu kwa mjukuu wako, hivi huyu Dena naye ni mjukuu wako???????
 
Babu, au kuna mtu umemuona katengua mtego?

Hahahaha...siri yetu.

Tutaijadili pale Sifuri. Tutawaalika Mfale wa Amani Teamo na Mhashamu Askofu kwa tafakuri.
 
sababu nzito ya kukutana JJ, kujadili hoja kwa kina.
Karen nakutafuta my dear,
 
Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.

We Dogo chunga kauli yako![/QUOTE]

Nimekugongea kale ka kitu haka hapa chini. Huyu dogo sijui vipi bana anajisemea kwanza kuoa hajaoa atoe wapi uzoefu


The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Kaizer na Pakajimmy wako wapi ?
Tunahitaji mawazo yako hapa :decision:
 
Siko biased ila upande mmoja kila siku unaonekana ndio unaotumika.........kwa mara ya kwanza leo nimesikia kina mama wakisapoti upande wa pili. Ndo maana nikainamia huko ili nichote mengi zaidi.

Samahani kama nimekukwaza!

Mimi wala sijakwazika...!
Ila sasa, inaonekana ni ngumu kujua nani yuko serious na kile anaandika! Mimi nilifkiri tunakuwa wakweli katika michango yetu, lakini sijui kama ni hivyo kwa wote!!
 
Sikumbuki kama Dena alisema yeye si mwaminifu; alikuwa anatoa uzoefu wake kwa aliyoyashuhudia.

We Dogo chunga kauli yako![/QUOTE]

Nimekugongea kale ka kitu haka hapa chini. Huyu dogo sijui vipi bana anajisemea kwanza kuoa hajaoa atoe wapi uzoefu.




The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
Kwani waliooa na kuolewa wana muhuri kheeee kheeeee btw umejuaje..........
 
Aaah,Wanaumeeeeeeee,akili vichwani mwetu kusuka au kunyoa,lakini huo ndio mpango mzimaa wa mapenzi,hakuna kiapo kinachotekelezeka,viapo vyote vinakuwaga zuga tuu,kwani hata Mkulu na wenzake wakati wanakabidhiwa madaraka si waliapa?
 
Back
Top Bottom