Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Ila TF kazidi nilishamwambia huko juu back to topic hasikii huyu mtoto sijui kwanini asilizi wakubwa zake anapoambiwa kitu
Nimedhalilishwa Sana
Nimefedheheshwa Sana
Nimehuzunika Sana

Naomba Dena apewe BAN kuingia Jukwaa la MMU tu.
 

Ubarikiwe sana Maty....
Ukweli ni kwamba Mungu ni mwaminifu kwa wale wampendao. Na yeye ameahidi mlango wa kutokea magumu yakitukuta, kinachotakiwa ni sisi kuendelea kumtumaini na kumwamini kwamba anaweza! Kwa nguvu zetu hatuwezi, bali kwa msaada wake tunaweza! Bless you Maty...!
 
ndo wewe jamani. sio kwamba cjui kuliandika.ila mimetamka kbs kutoka kumoyo.naomba mwongozo

Mimi babu kaniambia unamtafuta Karen... Ikabidi nikimbie mbio!! Hebu pata mwongozo kutoka kwa babu kwanza!
 

Lakini Keren wangu, Si ni Mungu huyu huyu watu wanamuomba laki si wote wanajibiwa maombi yao?
Kwani ukimuomba LAZIMA akukubalie?

Wagonjwa wangapi wanaombewa lakini hawaponi,
wangapi wanajiombea kwa imani wafaulu mitihani na wanafeli,
Wangapi wanaomba wapewe wake wema wanapewa malaya
Wengine wapate kazi nzuri wanaishia kuwa vibarua
nk nk nk nk nk

Utajiaminije kuwa ukimuomba wewe kwenye mtihani huu ni LAZIMA akusikilize? Je asipokusikia?

Eti Keren wangu, hebu nambie.
 

Bora useme wewe maana humu huyu babu yako mchachu kuliko limau. Hebu kula na hizi za fasta fasta
The Following 3 Users Say Thank You to LD For This Useful Post:

Asprin (Today), Keren_Happuch (Today), Maty (Today​
 
Nimedhalilishwa Sana
Nimefedheheshwa Sana
Nimehuzunika Sana

Naomba Dena apewe BAN kuingia Jukwaa la MMU tu.

Anahutubia nchi nzima, mnasema TF amefanya hikiiiii, amefanya hikiiiiii, amefanya hiki biiiila kumsikiliza
Mi nadhani tatizo ni U-TF,
Kwamba ionekane TF amefanya hayaaaaaaa, ionekane TF amefanya hayaaaaaaa, tumuondolee heshima au tumwajibishe
Nimetafakari sana, kwa niaba ya MMU, kwa niaba ya CPU, nimemwandikia barua Babu ya kuomba niachie ngazi
 


Hiyo red kweli tupu. Kwani sisi hatuombi Mungu nani kasema? Na tena na Jumuiya tunasali na misa ya asubuhi pale st.Joseph tunasali kabla ya kuingia ofisini. Hakuna mtu asimpenda Mungu sijawahi kusikia eti mtu anasema mimi simpendi mungu hata siku moja.

Asiye....... na awe wa kwanza kurusha jiwe!!! Hao ndo walikuwaje?

Mimi msimamo wangu uko pale pale bana sibadili.
 

Sasa nimepewa ushauri huu hapa: "Saa zingine kusema ukweli kunaweza kukuponza, watu wakafikiri you are pretending"
Ila kwa sababu siwezi kusema uongo, basi inabidi sasa ninyamaze! Nafikiri mchango wangu kwenye sredi, umeupata lakini! Kwa kuongezea, kutokujibiwa maombi, haikupi kibali cha wewe kutokuwa mwaminifu! Hicho nacho ni kipimo cha uvumilivu na jinsi gani unampenda.
 

Babu nitakutafuta nikwambie ni vitu gani niliomba serious kwa mungu na akanifanyia vile nitakavyo vingine hata sistahili kuwa navyo, acha kabisa na utachoka kabisa siku hiyo. Tatizo watu wanaomba bila imani
 
DENA ndio maana nakupenda tungekuwa tunaambiana ukweli na matatizo yangepungua.


 

Ishu si kuwa mwaminifu, ishu ni uvumilivu hapa!
 

Kila mtu anamuomba mungu atakacho na anapewa wewe umeshasema msimamo wako uko pale pale kwamba huwezi kua mvumilivu usijali mungu atakulegeza mpaka ushindwe kuvumilia mara mbili ya hapo. Mimi namuomba mungu niwe mvumilivu na nimeona akifanya kazi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…