Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Hii ni kali na ngumu kusema ukweli.
Hebu tufunge safari ya mawazoni tujifikirie wenyewe kisha tuwe wakweli.Walichofanya hawa watu wawili na hatimaye kufa ni kitu kibaya cha kisaliti ukizingatia urafiki wa kifamilia uliojengeka ukawa kama undugu.

Lakini tuchukulie ni mwanamke ame paralyse je mumewe angekuwa anajihini akisubiri kifo kiwatenganishe? Kiimani ndivyo inavyotakiwa lakini kiuhalisia katika dunia ya dhambi tuwe wakweli ni ngumu hasa kama damu bado inachemka.Wengi hapa watajitahidi kusema watavumilia hadi kifo kije lakini nasita kusema hivyo maana huwezi kujua litakalotokea mbele.
 
Kama wote wazima na watu wanachepuka sembuse hili? Ukweli tunaujua hakuna wa kupinga ila tunachosema chonde chonde upande wa pili usijue! Hii ni rule number moja!
 

Hapo ndipo niliposimamia mimi. Well said dear
 


Asante WOS nilisubiri sana komenti zako zenye upeo ,
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]So much going on, where do I start,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] I don't know what's wrong,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] that's the fearful part,[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Life has its way of making things so rough,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] So I guess I got to be tough,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] People are so hard to trust,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] but some people I must[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Life is too short to be stressed[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] and worried about the unknown[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Now that's where I think I am going wrong,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] So many thoughts run through my head [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Like a jet flying through the sky[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] But I just can't figure out why,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Many reasons I may have but, are they real[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Or is my mind making me feel so ill[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] You are supposed to follow your gut,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Or that's what I thought,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] So angry at times[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] and really have no solid reasons why,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Maybe because what I am feeling inside?[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] God only gives me as much as I can handle[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] or that's what they say,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] He is pushing his limits with me,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] I hope he can help make it go away,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] I think I know where the problem starts[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] I thought I fixed it, [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] But I guess what a bad thought,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] So I guess I got to figure it out alone,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] And move on,[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Till that day, I just got to pray[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] that God helps pave the way.[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] So stressful this stuff[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] that is flying through my head,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] I must find a way to shoot it dead,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Many thoughts I have[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] about solving the problems, [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] But I won't let myself get to that point,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Gotta be strong and figure[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] the best way I know how,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] But I must continue to love and care,[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] Because that may be the only thing[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] to help my mind go bare.[/FONT]​
 

WomanOfSubstance,

Usisite kusema - Hakuna binadamu anayejua nini kitamtokea baada ya sekunde moja ijayo!

Ukweli ubaki kuwa ukweli tu ...

Leo hii Kyabu anapatata "paralysis" , Inawezekana ni kauguzwa miaka mitano au zaidi kabla ya kuonja mauti! Haiwezekani, narudia tena haiwezekani, Mke wa Kyabu aishi miaka yote hiyo bila kugonoka na wanaume wengine no, never! Sheria za maumbile haziwezi kumruhusu kuwa "mpweke" !

Labda muanzisha mada nitam-PM kumuuliza, kama inawezekana mwanamke aliye katika ndoa kwenda kusoma Ujerumani miaka mitano bila kurejea nyumbani na arudi akiwa "salama"? samahani kwa wale ambao wake zao wako masomoni au kwenye "special assignment", lakini ukweli ndiyo huo, uko waliko wana-do kama kawaida!
 
Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

:horn::horn::horn::horn::horn::horn::horn:
Komredi unaharibu ujue!!
 
...dah, ulivyoisimulia mada hii umeniachia kicheko wallah!
ANYWAY, back to topic...

"for better or worse" ni pamoja na makubaliano ya 'kusimamisha gari kwenda kuchimba dawa' bana, so long as hataonyesha dalili zakunogewa kiasi cha kusahau wajibu wake. Si unajua 'njaa' ikishika hatamu, hata uinyweshe uji kazi bure?

au mnasemaje dada zangu? yanavumilika 'na tai shingoni' mkisubiria roho ya baba mwenye nyumba iache mwili?
Sidhani!
 

Na akikataa kukubali talaka utafanyaje? Kumbuka hapa ni mtu mgonjwa hajiwezi na anajua mkiachana uwezekano wa kupatamtu mwingine ni nil.Wapo wanawake wengi wanaishi na waume zao ilhali wote wanajua kuwa "ndoa" hamna. Wanakaa pamoja kwa sababu mbalimbali ambazo kwa kiasi haziwafungi kivile kwenye mambo mengine.Hawa nao watasaidiwa vipi?

Kuna kesi ya wanandoa waliokuwa wanaishi mradi tu...mama akachukua jukumu la kufungua kesi ya talaka mahakamani.Kila kesi ikienda, mwanaume alijitahid sana kupinga talaka isitolewe kisa kwa vile anampenda bado mkewe na haoni kama ndoa imevunjika pasina shaka kama inavyotakikana kisheria. Kwa vile sheria nayo iko kulinda taasis ya ndoa, basi mahakama ikawa inakataa ombi la talaka.Mara kadhaa mwanamke alishindwa kupata talaka hadi alipozirai mahakamani ndipo wakaamini kweli ndoa imevunjika maana mwanamke alionyesha dhahiri haivumiliki kuishi na mumewe.Hadi kuzirai, angeweza kupoteza maisha!

Tusijadili jambo zito kama hili kimzahamzaha ndugu zanguni..tuangalie mapana ya hili suala. Katika mila na desturi za makabila mengi kulikuwa na mfumo na utaratibu wa kusaidia wenye matatizo kama haya ndani ya familia pasipo kuleta mfarakano au aibu.Lakini siku hizi jamii zimepoteza mila na desturi kwa kukumbatia usasa na dini na sheria zinazoweka mipaka ya mambo mbalimbali kwa nia njema. Hapa tutajadili weee lakini ukweli utabakia kwa yule anayeguswa na tatizo na jinsi anavyoona apateje msaada.
Nawasilisha.
 
Komredi unaharibu ujue!!
The Following User Says Thank You to Kimey For This Useful Post:

CPU (Today)​


Yaani unatumia pointi za sredi hii ya babu kuchakachua wajukuu wa babu?? Haiwezekani siwezi kulifumbia macho hili?? Kama vipi lete mapene kwanza . . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…