Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

kwa sie wa dini yetu inaruhusu kuolewa tena! Nambie mmeoana kweye twenties then inatokea hivi bado u mbich kabisa! Kweli mie uzalendo utanishinda, sita chakachua nje bali nta olewa tena na huyu aliye kitandani ntampeleka kwao au kumwekea mtu wa kumtunza nami ntamsaidia kifedha endapo nina uwezo huo!
 
<br />
<br />
Hapo kwenye uzalendo pa msimgi ukweli ndo tunautaka
 
1.Hiki kiapo kwamba "nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe" kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa) In reality hiki kiapo it's not practical na hakitekelezeki in case kukiwa na matatizo kama ulivyoeleza hapo juu.

2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani).

3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani) Kwa ukweli kabisa sitaweza kuvumilia kama likinipata hili.
 
Gadaffi nasikia amekimbia Nchi!! na Walinzi wake wa kike 22!
 
Dena Amsi;1652405]Tena walioshuka leo toka mbinguni hakuna kitu kama hiyo bana[/QUOTE]

DA huwa unamuonaje mumeo unavyokuwa umetoka kuchakachuliwa huko nje na njemba nyingine, Unamwona zezeta kwa kutojuwa huo uchafu ulofanya huko? Au ni ujanja vile kwa vile hajui ulilolifanya?. Nafsi haikusuti ufikapo nyumbani mumeo anakuuliza za kazi mke wangu mpenzi kumbe ulikuwa unahemewa na njemba nyingine kifuani?

Hi siyo kwako tu D A, nimetoa mfano tu kwa watu kama wewe mnaotoka nje ya ndoa zenu. Kwanza tu ni haibu iliyoje kwa kujuwa uko kwenye ndoa na bado unatoka nje. Siku ukiwa na babaa ukutane na huyo mwizi wake unamwona mjinga vile mumeo eti ? Si kwa wanawake tu bali hata kwa wanaume wenzangu wenye tabia hizi, unaenda nyumbani mkeo anakukaribisha kwa upendo mkubwa kumbe ulimtenda huko nje. Alafu unatoka hapo J,pili unaenda kanisani kutubu na kesho yake unarudia Uchafu uleule.

Mumwogope Mungu nyie viumbe, na kuwepo na heshima katika ndoa zenu maana hamkulazimishwa kuoa au kuolewa na hao mlio nao.

Ni hayo tu.
 
Dena Amsi;1652405]Tena walioshuka leo toka mbinguni hakuna kitu kama hiyo bana

Ni hayo tu.[/QUOTE]

Yakikufika utarudi humuhumu kuomba ushauri, meanwhile hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake kama mungu mwenyewe alivyotuambia
 
[
Kwanza nakupongeza sana kwa uandishi mzuri unaotia hamasa ya kusoma zadi na zaid. Hongera

1.Hiki kiapo kwamba “nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe” kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)

Kwa nini uulize kama ni practical kwa WANAWAKE kwani kiapo hiki uapwa na wanawake tu??................ kama unahalalisha kuwa kwa wanaume si practical unatuthibitishia kuwa pale Madhabahuni huwa mnaapa kinafki na kumthihaki MUNGU aliyebariki ndoa. Ametuasa kuwa ... ndoa na iheshimiwe na watu wote. So usiweke exceptions otherwise kama si practical kwa wanaume then si practical kwa wanawake pia. But at least wanawake wanajitahidi kuifanya iwe practical.... kuliko wale ambao hata kujaribu wanakiri udhaifu.

2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)

Ila kwa mwanaume kwenda kula uroda kwa mwingine ilhal mkewe yuko juu ya kitanda mgonjwa au kendamletea mwanaye duniani ni sawa........Ndio maana hukuwa MUNGU maana ungeshindwa kujihukumu mwenyewe.

Nyie mwaweza?? .................

Babu nisamehe...mie bado Mjukuu Mtiifu. nimechakachuka tu na MArunyag ....kesho ntakupa majibu uyatakayo loh
 
...mnh, leo uandishi wako umekuwa wa ukali mno. Is everything ok mydear?
 
...mnh, leo uandishi wako umekuwa wa ukali mno. Is everything ok mydear?
Hahaha Mbu this is called Missing syndrome........umenigaya eh?

Hapana jana nadhani keroro ilizidi mukichwa nikajisikia kumkoromea babu loh..............I hope hatanipa adhabu.
 
Hahaha Mbu this is called Missing syndrome........umenigaya eh?

Hapana jana nadhani keroro ilizidi mukichwa nikajisikia kumkoromea babu loh..............I hope hatanipa adhabu.

Mjukuu pamoja na kugugo sijaelewa hapo umenena kwa lugha gani........
 
Yakikufika utarudi humuhumu kuomba ushauri, meanwhile hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake kama mungu mwenyewe alivyotuambia[/QUOTE]

Ndugu mie kwa umri nilionao siwezi kuja kuomba ushauri humu wa eti nimechakachua/amechakachua nje.

Msimamo wangu uko pale pale sitabadili. Tena watu kama nyie ndo wanafiki wakubwa kujifanya hamfanyi kumbe ndo wataalamu. Sory huo ndo msimamo wangu na utaendelea kuwa hivyo
 
Yakikufika utarudi humuhumu kuomba ushauri, meanwhile hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake kama mungu mwenyewe alivyotuambia[/QUOTE]

Umeshajipa jibu tayari
 
Dah i see shetani huyu
 
The Following 25 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:

Anold (Yesterday), BelindaJacob (Yesterday), CPU (Yesterday), Da Womanizer (Yesterday), DaMie (Yesterday), Dreamliner (Today), Ferds (Yesterday), FirstLady1 (Yesterday), Fixed Point (Yesterday), Kaizer (Yesterday), LD (Yesterday), Lily Flower (Yesterday), Maty (Yesterday), Mbu (Yesterday), MTM (Yesterday), MwanajamiiOne (Yesterday), Mwita Maranya (Yesterday), Preta (Yesterday), samora10 (Yesterday), St. RR (Yesterday), Teamo (Yesterday), The Finest (Yesterday), ukwaju (Yesterday), uporoto01 (Yesterday), WiseLady (Yesterday)

Bado nasikitika.. will be back.
 
Kumbe bado tunaendelea hapa , na asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumponda mama huyo jiwe
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…