Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Orayt
Tuchukulie kesi kama hii....
Mmeo kakuwezesha, amekusaidia, hajawahi kukuboa...yaani yote njema.
lakini ghafla lahaula...kapata mzinga yuko kitandani. Baioloji haitaamka mpaka anaingia kaburini. Na wewe una kiu yako. Utavumilia mpaka mwisho au uchakachuzi utafanyika japo kwa siri?
<br />kwa sie wa dini yetu inaruhusu kuolewa tena! Nambie mmeoana kweye twenties then inatokea hivi bado u mbich kabisa! Kweli mie uzalendo utanishinda, sita chakachua nje bali nta olewa tena na huyu aliye kitandani ntampeleka kwao au kumwekea mtu wa kumtunza nami ntamsaidia kifedha endapo nina uwezo huo!
Gadaffi nasikia amekimbia Nchi!! na Walinzi wake wa kike 22!
Dena Amsi;1652405]Tena walioshuka leo toka mbinguni hakuna kitu kama hiyo bana
1.Hiki kiapo kwamba nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)
2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)
3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)
Kwanza nakupongeza sana kwa uandishi mzuri unaotia hamasa ya kusoma zadi na zaid. Hongera
Kwa nini uulize kama ni practical kwa WANAWAKE kwani kiapo hiki uapwa na wanawake tu??................ kama unahalalisha kuwa kwa wanaume si practical unatuthibitishia kuwa pale Madhabahuni huwa mnaapa kinafki na kumthihaki MUNGU aliyebariki ndoa. Ametuasa kuwa ... ndoa na iheshimiwe na watu wote. So usiweke exceptions otherwise kama si practical kwa wanaume then si practical kwa wanawake pia. But at least wanawake wanajitahidi kuifanya iwe practical.... kuliko wale ambao hata kujaribu wanakiri udhaifu.
Ila kwa mwanaume kwenda kula uroda kwa mwingine ilhal mkewe yuko juu ya kitanda mgonjwa au kendamletea mwanaye duniani ni sawa........Ndio maana hukuwa MUNGU maana ungeshindwa kujihukumu mwenyewe.
Nyie mwaweza?? .................
Babu nisamehe...mie bado Mjukuu Mtiifu. nimechakachuka tu na MArunyag ....kesho ntakupa majibu uyatakayo loh
Hahaha Mbu this is called Missing syndrome........umenigaya eh?...mnh, leo uandishi wako umekuwa wa ukali mno. Is everything ok mydear?
Hahaha Mbu this is called Missing syndrome........umenigaya eh?
Hapana jana nadhani keroro ilizidi mukichwa nikajisikia kumkoromea babu loh..............I hope hatanipa adhabu.
DA huwa unamuonaje mumeo unavyokuwa umetoka kuchakachuliwa huko nje na njemba nyingine, Unamwona zezeta kwa kutojuwa huo uchafu ulofanya huko? Au ni ujanja vile kwa vile hajui ulilolifanya?. Nafsi haikusuti ufikapo nyumbani mumeo anakuuliza za kazi mke wangu mpenzi kumbe ulikuwa unahemewa na njemba nyingine kifuani?
Hi siyo kwako tu D A, nimetoa mfano tu kwa watu kama wewe mnaotoka nje ya ndoa zenu. Kwanza tu ni haibu iliyoje kwa kujuwa uko kwenye ndoa na bado unatoka nje. Siku ukiwa na babaa ukutane na huyo mwizi wake unamwona mjinga vile mumeo eti ? Si kwa wanawake tu bali hata kwa wanaume wenzangu wenye tabia hizi, unaenda nyumbani mkeo anakukaribisha kwa upendo mkubwa kumbe ulimtenda huko nje. Alafu unatoka hapo J,pili unaenda kanisani kutubu na kesho yake unarudia Uchafu uleule.
Mumwogope Mungu nyie viumbe, na kuwepo na heshima katika ndoa zenu maana hamkulazimishwa kuoa au kuolewa na hao mlio nao.
Ni hayo tu.

Habari zenu binafsi kwa ujumla wenu;
Jana wakati napata kifunga kinywa pale kingstaa kaunta ya juu wakaja wadada wawili wanapiga stori ya mwenzao waliyetoka kumwombea azidi kulala pahala pema peponi baada ya kumaliza mwaka mmoja akiwa chini ya dongo takriban tani saba. Walikuwa wanasikitika uamuzi wa rafiki yao huyo kujiua. Kwa unasaji wangu wa habari (siyo umbea) nikalazimika kuwajoin ili waninusishe yaliyojiri.
Ni hivi:
Kulikuwa jamaa marafiki wawili bwana X na bwana Y ambao walikuwa wameoa na bahati nzuri wake zao nao pia wakatokea kuwa marafiki wazuri. Katika pilikapilika za maisha siku moja bwana X akapata ajali iliyomgharimu kutenguka kiuno na kuparalaiz kuanzia kiunoni mpaka miguuni. Maisha ya Bwana X yakahamia kitandani rasmi, na baioloji yake ikawa haina mawasiliano na jinsia ya kike.
Bwana Y kwa upendo akawa anaisaidia familia ya Bwana X kwa hali na mali (kipato cha mke wa bwana X hakikutosha kuhimili mikiki ya maisha katika hali hii ya serikali ya awamu ya nne)
Mwaka ukakatika, mke wa X akaingiwa na shetani sehemu zake za siri. Akajikuta analazimika kujipitisha na kumimina mabode langueji ya malavidavi kwa bwana Y. Bwana Y uzalendo ukamshinda akalazimika kuliamsha pepo la ngono lililolala kwenye baioloji yake. Shughuli ikaanza wakanogewa na dhambi. Wakajivinjari bila ya mgonjwa X wala mke wa Y kujua mpaka Malaika wa Mungu alipoamua kuweka mambo hadharani.
Siku moja wamepiga ulabu, bwana Y akamsindikiza mke wa X mpaka nyumbani kwa Bwana X. Pepo likawaingia wakaanza kujivinjari sebuleni. Makelele ya malavidavi, Bwana X akastuka usingizini, sijui alipata wapi nguvu akajiangusha kitandani, akajiburuza mpaka sebuleni akashuhudia rafiki yake akimla uroda mkewe .. Akaachia yowe kwa mstuko, na Ziraili mtoa roho akaichukua roho yake kupitia njia ya mstuko wa Moyo
Haikupita muda mke wa Bwana X nadhiri ikawa ikamsuta . akaona isiwe tabu kwa hiyari yake tena bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu, akamwalika ziraili aje kuchukua roho yake kupitia mtaa wa sumu . Naye akatangulia kuzimu. Yaliyojiri kwa bwana Y ni kuwa ndoa yake imekuwa historia. Na Bwana Y amekuwa kama kreze akiamini ameua watu wawili at a go! (Nadhani baioloji yake itakuwa imepata hitilafu flani)
Sasa ndugu zangu, (kina mama safari hii hebu kuweni wakweli japo kiduchu):
1.Hiki kiapo kwamba nitakuwa mwaminifu mpaka kifo kitutenganishe kinatekelezeka? Is it practical kwa wanawake? (Kwa wanaume sitii neno hapo, kwa sababu liko wazi kabisa)
2.Eti mwaweza kwenda kuliwa uroda ilhali mumeo unayempenda sana mpaka ukaamua kuhamia kwake yu kitandani hoi? Nadhiri haziwasuti? (Ningekuwa Mungu mngenitambua hakyanani)
3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)
Babu ako konfyuzdi na ameanza kuogopa kutenguka kiuno .Bibi bado anadai wasije wakanichakachulia kwenye hili banda nililojenga kwa pesa za mkopo;
Angalizo: Hii mada ni serious na atakayeenda Ofu Topic .nambwenga makwenzi afu anakula BAN!
No mie na do na unayemjua hayupo humu tangu nimerudi
Kumbe bado tunaendelea hapa , na asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumponda mama huyo jiwe
Amina