Babu watu wanapretend tu hapa mie nasema ukweli ulio wazi umeona Gajin hapo juu comment yake kawa mkweli na muwazi
Turudi kwa udhaifu wa kibinadamu uliopo, matunzo aliyopewa baada ya mume kupata tatizo. Inapofikia tamaa ya kimwili imemshika angefanya nini zaidi ya kusaidiwa na ambaye amekuwa anampa msaada kwa wakati huu mgumu. Kwa hapa ni wachache wanaweza kukwepa.
Aisee Chauro unatumia kinywaji gani?
michelle uliza kinamama waliolewa mwanzo waliongea kama wewe not only heaven forbid ahata earth forbid mimi mimi labda mwingine
Chauro wanaongezea na ile "OVER MY DEAD BODY WHO ME I CANT DO IT"
aaaa tusiwe wanafik jamani.
Subira ngumu sana na hasa kama bado kijana. Ikiwa nipo above 50 maybe nitaweza lakini chini ya hapo nitadai talaka.
better that way than to cheat
wajameni kuna mtu amenionea WISELADY ''mapendo daima?''
namtafuta sana huyo mutu
Shkamoo mwalimu wangu Gaijin,
Nimefurahi kuusikia msimamo na ukweli wako!
Dena watu wanataka kujifanya malaika. π)
michelle uliza kinamama waliolewa mwanzo waliongea kama wewe not only heaven forbid ahata earth forbid mimi mimi labda mwingine
Chauro wanaongezea na ile "OVER MY DEAD BODY WHO ME I CANT DO IT"
Hahahaha...mama wakwanza moja bana!
Usisikitike, changia mada hapo bana.
Yaani jamaa limeshakunjesha utamu. Ushajua raha yake, haipiti siku mbili unaihitaji...mara ghafla imebuma...nawe ndo kwanza una miaka miwili katika ndoa. Bado mbichi na vijana mtaani hawakomi kukukonyeza...
Hutamuacha mmeo anagumia kwa maumivu kitandani ukamegwe mtaani huko?
Orayt...tumia mimi PM unipe lokesheni...hakika leo utakunywa valuu na Babu!
THIS IS VERE VERE NASHUKUR KWA KUENDELEA KUNITUNZIA MATY MDOGO MIAKA IKIFIKA INSHALLAH NITAKUJA KUGONGA MLANGO NIKIWA NA UJUMBE MZITO UTAOONGOZWA NA ASPRINHivi mwalimu unaamini kwamba pamoja na wanaume kusema kwao ukweli kwamba wanatoka nje ya ndoa wapo ambao hawatoki kabisa nje ya ndoa zao. Sasa kama kuna wanaume hawatoki nje ya ndoa zao unashindwaje kuamini kwamba kuna wanawake waaminifu, mimi inawezekana si muaminifu lakini naamini wapo waaminifu. Kila kitu ni kukiendekeza na kukipenda
nakupenda WL,tafadhali usiseme kwa ODM:A S 13:
Hivi mwalimu unaamini kwamba pamoja na wanaume kusema kwao ukweli kwamba wanatoka nje ya ndoa wapo ambao hawatoki kabisa nje ya ndoa zao. Sasa kama kuna wanaume hawatoki nje ya ndoa zao unashindwaje kuamini kwamba kuna wanawake waaminifu, mimi inawezekana si muaminifu lakini naamini wapo waaminifu. Kila kitu ni kukiendekeza na kukipenda
finest kumbe unajua usifuate maneno yao fuata matendo upo...............
Nakumbuka kuna mkaka mmoja alimwambia GF wake kuwa WHAT YOU SEE IS NOT WHAT YOU GET mwanzoni akuelewa alikuja kuelewa its too late