Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?



sweetheart Maty hapa yaani sijaidhinisha uzinzi ndani ya ndoa ,ila nimejiuliza swali katika hali ya huyo dada ni kweli katenda dhambi sana ambayo kwa mungu ni ngumu kusameheka uzinifu na kujiua ,labda tu kama amepata sala ya toba kabla ya kifo chake .
Swala naloongea hapa kama ndani ya 2 years na kuendelea hakuna huduma muhimu katika sababu mbali mbali zilizo nje ya uwezo wetu ( hali ya kifo au Ugonjwa kama huyu mwenzetu ) inakuwaje Maty .??
Nashindwa kusema sana cause bado halijanifika kama hili na siombei kwa mungu linifike hata kidogo najua mungu ni mwema sana .
 
Sasa jamaa ameshatenguka kiuno na mkewe anahitaji mambo anategemea angevumiliwa mpaka kifo? mazingira ya tukio la kujivinjari hayakuwa mazuri kiukweli nikimaanisha jamaa kuugulia ndani halafu mke kuja na mtu sebuleni.

Uvumilivu una mwisho!

Hebu pata hii kitu hapa chini




The Following User Says Thank You to BelindaJacob For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
I.............take you.............to be my lawfully (husband/wife), to have and to hold, ... for better for worse, for richer for poorer, in sickness and in health, ........till death do us apart
 
 
seriously contradicting indeed, i need to learn why walifanyia nyumbani kwa jamaa, hiyo haitakua mara ya kwanza

Afadhali bana na wewe bora umechangia kidogo hao walizoea hiyo tabia yao mbaya tokea siku mingi kama ni kahamu kamekushika baada ya uvumilivu wa muda mrefu kwa nini hakufanya kwa kificho kidogo? hao wababa wenyewe wakitoka nje ya ndoa kwa bahati mbaya huwa wanajilaumu baadae itakua mmama tena ndani ya nyumba yako na mumeo kalala ndani hawakupendana hao walilazimisha ndoa.
 
Babu hii story haya bwana,

Ila tu mie ningeomba hivi viapo vingefanyiwa amendment kidogo basi na idadi ya vifo vingepungua kwa wahusika.

Utasikia almost every day watu wanajitoa muhanga kwaajili ya ndoa no its too bad.

Natumai wahusika mnasoma hapa am awaiting your positive reply.
 
Sasa jamaa ameshatenguka kiuno na mkewe anahitaji mambo anategemea angevumiliwa mpaka kifo? mazingira ya tukio la kujivinjari hayakuwa mazuri kiukweli nikimaanisha jamaa kuugulia ndani halafu mke kuja na mtu sebuleni.

Uvumilivu una mwisho!



The Following 2 Users Say Thank You to BelindaJacob For This Useful Post:

Asprin (Today), Dena Amsi (Today)​
 

Hapo ndo unapokosea ......hiyo kitu Mungu kaishusha niipende na niihusudu. As long as sifanyi zinaa, sioni kwa nini nisiipende.

Na kwa kuogopa zinaa ndio nikasema nitaomba talaka. Na uamuzi wa kuomba talaka kwa kuwa mwanamme hawezi kukupa haki yako ya tendo la ndoa unakubalika kidini (islam) na kiserikali.
 
Gaijin kwanini unapenda kuungwa mkono kwenye ku-justify maovu?



sijajustify ovu lolote, nimeongea reality, kuwa mimi nitadai talaka ili nisiingie kwenye uovu wa zinaa. Simple as that.

And yes kuliko ku-cheat na kuingia kwenye zinaa, nitadai talaka (sheria is on my side on this one, na yeye pia ata understand)
 


No sijasema umeidhinisha mpenzi unajua nilivutiwa na post yako baada ya kugonga senks nikaquote wewe ila nilikosea nilikua namjibu babu, ni kweli si lakuombea likufike kwani ni janga zito ila kama mwenyewe ukiamua lisikutetereshe hili jambo unaweza kabisa kuvumilia jamani ila ukijiamulia kwamba huwezi ishi bila ku du hayo ni maamuzi ya mtu binafsi. Na hili inategemea makuzi yako yalikua vipi, kama umekua ukipendelea hii makitu haijalishi umempenda mtu hujampenda unaenda tu mradi utii kiu yako kama wababa itakua ngumu likikupata
 

Mwalimu naomba kuuliza...na endapo dini na Serikali ingekuwa hairuhusu kitu kinaitwa talaka?
 
I.............take you.............to be my lawfully (husband/wife), to have and to hold, ... for better for worse, for richer for poorer, in sickness and in health, ........till death do us apart

Sweetness amendments are needed on the above paragraph. Hicho kipengele kwenye red kisingekuwepo mbaya sana unaapa kanisani/msikitini alafu baadae unakiuka ndio maana balaa haziishi dunia hii.
 
Kuna wakati Kyabushaija alikuwa anaishi Morogoro, akifanya kazi Tumbaku. Pale kulikuwa na Mzee mmoja anaitwa "Delta". Mzee Delta alikuwa anapenda sana mabinti, lakini tatizo lake lilikuwa uwezo wa "biolojia yake kusimama". Ilikuwa inabidi mabinti wampepe na feni ya mezani hadi afikia "70 degrees".

Baada ya mke wake kufariki alioa binti mdogo kwa kulinganisha na umri wake na wakaanza kuishi kama mme na mke. Siku moja Mzee Delta akarejea nyumbani, bahati mbaya huyo mkewe akawa ametoka. Mzee akasubiri kwa takribani masaa manne na bahati usingizi ukampitia. Alivyostuka ilikuwa yapata saa 9 usiku - kushoto kulia hamna mke - akaamka kwenda sebuleni alivyofungua mlango wa chumbani akasikia kelele za mahaba sebuleni, kufika sebule akakuta mkewe juu mwanaume chini (Maria Roza's style) na shughuli ndiyo imepamba moto..

Alianguka na kufa hapo hapo...

Mpaka leo yule Mgoni wa Mzee Delta anaishi na Tina na wamezaa watoto wawili tayari..!

Conclusion:
Mwanaume anapoishiwa uwezo wa kufanya tendo la ndoa, NI LAZIMA Mke wake atatembea nje "with immediate effect". Mwanamke anapokuwa amehakikisha "beyond reasonable doubt" kuwa mume wake "hawezi" tena huwa anajihisi kuwa "insecure" na kwahiyo lazima anahakikisha kuwa kuna mwanaume mwingine ambaye "anaweza" kumtimilizia haja zake.

Kwahiyo wanaume wenzangu, siku ukipata ajali mbaya, au ugonjwa ambao utakufanya "impotent" acha wivu ili mkeo aweze kukuuguza kwa amani!

Ni hayo tu...
 

Vimeshushwa vitu vingi hapa duniani mwalimu mimi sikatai kwamba siipendi hii makitu huwa hata nafurahiaga vile vile lakini nikiamua huwa nina uwezo wa kukaa hata mwaka bila kugusana na mtu. Unakuta mwingine mmama wa miaka 50 mumewe ana kisukari hawezi basi anagawa kwa vijana kama pipi na huyu nae anashindwa kuvumilia? Labda ngoja niishie kwa kusema ni maumbile ya mtu labda
 
Mungu hakosei. Ndo maana akaweka talaka.
Kwa sababu anajua kuwa kamuumba binaadamu dhaifu sana (I can quote you God's words hapo).



Mwalimu naomba kuuliza...na endapo dini na Serikali ingekuwa hairuhusu kitu kinaitwa talaka?
 
mbona mkali dada hya ni maandishi tu sio vitendo :wink2::blah:
 

lets say you are 30 years old, can you abstain forever? Hilo ndo suala la msingi, sio kutofanya kwa mwaka mmoja au miwili. Kwa maisha yako yote ndo iwe basi. Unaweza? Mie naona siwezi.
 

Hahahaaa lol umenichekesha kweli we baba mwe! tunarudi pale pale watu hawapendani jama wanaoana tu sasa unataka kuniambia hako kabinti kalimpenda huyo mbabu si kalipenda sababu nyingine tu na kama kumegwa kalikua kanamegwa kabla hata hajafa hiyo ya kuja kufanyia sebuleni alitaka kummalizia tu mzee wa watu aendelee kujilia fyake kwa ulaini kazzzzzzzz kweli kweli
 
Who is talking?

mi ata kabla cjasema ki2, eti carmel, maana ya mkataba ni nini?
mke wa x alìvunja mkataba.
afu na mgawo huu, mnanikumbusha kina dowans.
ndoa za kikristo haziwi nullified eti kwa vile baoloji haifanyi kazi.
nikiripoti toka safarini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…