FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Jibu ni moja tu kama nilikupenda toka moyoni wewe mume wangu nikivumilia kunirudia usiku wa manane siku nyingine unapitiliza, na madhaifu mengine mengi lakini nimo kwani si nilikupenda mwenyewe sikulazimishwa wala kukulazimisha kunioa (maana ndoa zingine wamama wanaziforce sasa katika hili huyo mama lazima katika hali hiyo atoke tu nje ya ndoa kwani ataenda kumforce mwingine amdu) Huku nikimshirikisha na mungu anisaidie na hatimae mwisho wa siku anaweza kukuponya kabisa kwani hakuna kinachoshindikana.
Note:
Kuna wababa huwa wanaona kabisa huyu mama hanipendi ila atamlazimisha na pesa na nini kisa aliamua ataoa mke mwenye shepu fulani na sura fulani basi atafanya kila njia amuoe na wamama tulivyo dhaifu basi unaamua kukubali kuolewa. Kama mbaba ulifanya hivi tegemea kuja kusalitiwa na huyo mwanamke ukipata matatizo kama hayo na wala usije kumlaumu mtu.
conclusion:
Tuoe na kuolewa na watu tunaowapenda/wanaotupenda tusilazimishe mambo matokeo yake kuchukua maubavu ya wenzetu subiri mungu akuletee mke/mume aliekuandalia
sweetheart Maty hapa yaani sijaidhinisha uzinzi ndani ya ndoa ,ila nimejiuliza swali katika hali ya huyo dada ni kweli katenda dhambi sana ambayo kwa mungu ni ngumu kusameheka uzinifu na kujiua ,labda tu kama amepata sala ya toba kabla ya kifo chake .
Swala naloongea hapa kama ndani ya 2 years na kuendelea hakuna huduma muhimu katika sababu mbali mbali zilizo nje ya uwezo wetu ( hali ya kifo au Ugonjwa kama huyu mwenzetu ) inakuwaje Maty .??
Nashindwa kusema sana cause bado halijanifika kama hili na siombei kwa mungu linifike hata kidogo najua mungu ni mwema sana .