Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

lets say you are 30 years old, can you abstain forever? Hilo ndo suala la msingi, sio kutofanya kwa mwaka mmoja au miwili. Kwa maisha yako yote ndo iwe basi. Unaweza? Mie naona siwezi.

Hahahaaaaaaaaa lol likinikuta na mungu anisaidie
 
Habar ya hapa, wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu.
Nitarudi baadae, nimalize kwanza haya niliyonayo hapa.
Mbarikiwe.
 
Habar ya hapa, wakubwa shikamooni, wadogo habari zenu.
Nitarudi baadae, nimalize kwanza haya niliyonayo hapa.
Mbarikiwe.

marhabaa, elodii ivi ile ngera ipo kidogo mana hili sredi limekaa kimtego
 
I.............take you.............to be my lawfully (husband/wife), to have and to hold, ... for better for worse, for richer for poorer, in sickness and in health, ........till death do us apart

Nowadays, hiyo ni format tu kwa wahusika kwa asilimia za kutosha. Ilimradi aonekane alioa/aliolewa. Upendo wa dhati kushnehi...! Inafanya kazi kwa wachache tu wanaomcha Mungu kwa dhati.
 
Sweetness amendments are needed on the above paragraph. Hicho kipengele kwenye red kisingekuwepo mbaya sana unaapa kanisani/msikitini alafu baadae unakiuka ndio maana balaa haziishi dunia hii.
Hivi ni wewe au naota l.o.l!!!! Ulikuwa umepotelea wapi masai camp au......
 
aaaa tusiwe wanafik jamani.

Subira ngumu sana na hasa kama bado kijana. Ikiwa nipo above 50 maybe nitaweza lakini chini ya hapo nitadai talaka.

better that way than to cheat

Asante sana Gaijin kweli wewe Mwalimu ...

Shetani mwenyewe alikuwa Malaika wa mungu lakini one day alitaka kuwa zaidi mungu..

Zaidi ndo maana huwa hata tukiapa tunasema mungu nisaidie
 
Zion Daughter nakuona apo ''chini'' lakini haujanyanua mikono na kuiweka kwa keyboard.......:wink2:
 
Kuna wakati Kyabushaija alikuwa anaishi Morogoro, akifanya kazi Tumbaku. Pale kulikuwa na Mzee mmoja anaitwa "Delta". Mzee Delta alikuwa anapenda sana mabinti, lakini tatizo lake lilikuwa uwezo wa "biolojia yake kusimama". Ilikuwa inabidi mabinti wampepe na feni ya mezani hadi afikia "70 degrees".

Baada ya mke wake kufariki alioa binti mdogo kwa kulinganisha na umri wake na wakaanza kuishi kama mme na mke. Siku moja Mzee Delta akarejea nyumbani, bahati mbaya huyo mkewe akawa ametoka. Mzee akasubiri kwa takribani masaa manne na bahati usingizi ukampitia. Alivyostuka ilikuwa yapata saa 9 usiku - kushoto kulia hamna mke - akaamka kwenda sebuleni alivyofungua mlango wa chumbani akasikia kelele za mahaba sebuleni, kufika sebule akakuta mkewe juu mwanaume chini (Maria Roza's style) na shughuli ndiyo imepamba moto..

Alianguka na kufa hapo hapo...

Mpaka leo yule Mgoni wa Mzee Delta anaishi na Tina na wamezaa watoto wawili tayari..!

Conclusion:
Mwanaume anapoishiwa uwezo wa kufanya tendo la ndoa, NI LAZIMA Mke wake atatembea nje "with immediate effect". Mwanamke anapokuwa amehakikisha "beyond reasonable doubt" kuwa mume wake "hawezi" tena huwa anajihisi kuwa "insecure" na kwahiyo lazima anahakikisha kuwa kuna mwanaume mwingine ambaye "anaweza" kumtimilizia haja zake.

Kwahiyo wanaume wenzangu, siku ukipata ajali mbaya, au ugonjwa ambao utakufanya "impotent" acha wivu ili mkeo aweze kukuuguza kwa amani!

Ni hayo tu...

Aisee Kyabu,

Ntakuwa kaunta ya Juu pale.

Na Josephine nimekuzawadia kwa leo....si uwezo unao?

Well said!
 
Back
Top Bottom